Added: 3 years ago
From: gospelgtv
Views: 630
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (5)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • natoka s.sudan na nililelewa kenya.nilifikiria kuwa kibaki ni mmoja wao wanaoshikilia maadili ya DEMOKRASIA kumbe ni Mkabila tu!!Wakenya wakuotea vidole kwa yale maafa yaliyotokea.

  • Yes. Where is this man.He said that Kibaki used ECK and Media to plug Kenya into sivil war. Did any one know were this man is? Please help.

  • Baada ya kuwa kimya muda mrefu, Roho wa Mungu ameniongoza niulize huyu jamaa yuko wapi? soma mengi kumhusu katika munishiDOTcomSLASHyukowapiDOTh­tm

  • Kibaki atuambie huyu mtu yuko wapi. Walimfunga? Walimhamisha Kenya? Mbona hasikiki popote? Ujasiri wake tunaupongeza. Aliwaona wakiiba kura dhamiri yake ikamhukumu akasema wazi. Tuambieni yuko wapi???

  • Kenya tunataka watu kama huyu.Waandishi wa habari waliopaswa kuwa jasiri kukemea maovu wako wapi? Mbona NTV hawajampa award kwa ujasiri wake. Kama Kibaki aliposikia kwamba siri yake imetibuka kwa nini hakujiuzulu maisha na mali ya wakenya zipone? Badala yake alitumia vyombo vya dola kuongeza maafa kwa wakenya. Waki ametoa ripoti. Nayo Kibaki ataipuuzia tena? Ni kawaida yake.Hakuna gumu kwake. Yote ni rahisi tu.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more