Added: 3 years ago
From: NTVKenya
Views: 3,052
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (8)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Jinga sana, wengine hawajui cha kuchokoa na gani kuwacha, lo! Kwenda kabisa maggot yie, Hala!

  • Mpaka mzungu wa mwisho ametuambia vile kudeal na nyani aina yake. African leaders wanajua tu kucripple their masses, then act na inferiroity complex wakideal na wazungu i.e imf na un etc na get nothing done. Lazima tuamke- this century!

  • write properly. Either in swahili or english. thanks.

  • jinga wewe.

  • I'm trying to help you. No need to curse . Write properly your prose doesn't make sense when mixed up like you have done here. Otherwise, you might have a point but people won't understand it. And no I'm not jinga. I supervise people in the west.

  • Hehe hapo umenichekesha ati waonelea watu weupe ulipo.Nakuita mjinga kwa sababu kommenti yako haina maana au sababu i.hii sio darasa ya shule la watu watakao mafuta ya bure kutoka 'free gas tanker' ii. najivunia lugha ya 'sheng' ambayo ndio maarufu kwa kuwachanganyisha watu akili aina yako ili wasiweze kuingilia maneno wasiosajili au elewa na iii.unapobonyeza vidole kunichokolea,basi vingine vinne vyakubonyozea na kweli nikiangalia,lugha yako mwenyewe ni duni bila kipimo. Au? Woh! tumbili!Hehe.

  • This is better. Keep it up! Focus on the content of the video though.

  • Wacha kujifanya ni elected prefect wa vile watu huongea youtube hapa, ujinga mtupu! Yaani umengalia kwote na kuona ni mie utaletea ukubafu wa your self -appointed prefect position? Wacha kuwa idle na kama you don't understand uliza uelezewe, stop acting like unaweza dictate anywhere vile nitaongea you idle kenyan. Pita huko! Nami napite hapa! Hala? Idle kenyan ni wewe, iish! Peace. Jah Ras Tafari.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more