Added: 3 years ago
From: Hertz4life
Views: 11,574
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (5)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Wachungaji wanataka kupotosha wafuasi wao tuu. Hawajui hata Qurani nini. Hiki kisa kipo very clear, Nabii Ibrahim ameomba ajaaliwe mtoto mwema, Mola wake akampa mtoto mwema, kisha aya zinazofwatia baadae zinasema kisha (baadae) tukampa mtoto mwengine nae ni Is haq. sasa sijui wachungaji wanajaribu kupotosha watu wao kwanini au kwa ajili ya vyeo na mishahara. Subhanallah Allah awaongoe wafuasi wao wafungue Quran wenyewe waisome

  • Hapo tu Mazinge ndo maana ukawa professor! Mashaallah

  • eti ahsante sana bwana mazinge

    nafikiria kasahau baada ya kusema bwana yesu akasema bwana mazinge huyu mnafiki.

    sio kuna mashehe wanaokusomea ni wanafiki wenzako makiristo ya uongo na ya kusema uongo

  • panapo ukweli uongo hujitenga, Takbir!

  • ALLAH AKBAR!!!

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more