Added: 3 years ago
From: MightyLumber69
Views: 4,565
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (4)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • abdul ridhiwan kapiga kinanda katika huo wimbo,zahoro bangwe solo,uvuruge rythm,ridhiwani halikuwa mpiga kinanda solo kajifunzia hapo msondo ngoma mwanafunzi mabera na mponda,nafikiri hamfaham kwa sura ridhiwan.

  • zahoro bangwe hapigi solo ila anapiga rythm gitaa hapo solo ridhwani pangamawe au mkubwa mabela

  • Zahoro hupiga rythm kama solo linapigwa na pangamawe ama mabela, ila hapa solo anapiga yeye, rythm ridhiwan, besi kisukari, second solo uvuruge....hupo hapo?

  • Zahoro Bangwe ni mzuri kumtumia kwenye nyimbo za majonzi, gita lake linakuwa liteleza na kuteza simanzi la aina fulani, sikiliza kwenye wimbo wa Dua, Majonzi moyoni, ila si mkali wa solo Tanzania, kumbuka wanamuziki kama Ramadhani Mapesa (sikindei), Nguza (Jela) ni mifano ya wanamuziki wanaopiga solo vizuri tu, naona hapa kwenye profile yako kulikuwa na hoja ya ushabiki

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more