Jkajwang na Unga LTD choir ili hii 'barua isomwe na watu wote duniani' wakati wa ku- upload video TAG ianze na maneno yaliyo rahisi kutafutwa ktk YOUTUBE: 'Tanzania gospel injili Unga ltd - sisi ni barua' na hakika watu wengi hata wale wasio wakazi wa Unga ltd watawapata kirahisi chini ya TAG; Tanzania gospel injili......
ola mis amigos de africa
pastornano 1 year ago
This is Nice Songs the words
gives a msg May God bless all listeners and those who involved to compose the song
God Bless Ameen
mbogo200 2 years ago
we are called upon to carry the cross....and be a role model to all...praise God!
rosly543 2 years ago
Nice song. Tumshukuru yeye siku zote na tuwe chumvi ya kweli duniani.
005purity 2 years ago
this song is really nice. Reminds me when i was back in Africa. Keep up the good job choir. GOD bless you
poise777 2 years ago
Your Right it reminds when i was singing a choir at Milumbani town choir Tabora Tanzania.
mbogo200 2 years ago
hey keep up
jesusitrustyou 2 years ago
nice
jesusitrustyou 2 years ago
Asanteni sana Unga ltd,Mmenikumbusha wimbo wangu nikiwa mtoto.We used to sing this song at primary school in Kenya .
Sasa sisi ni barua twasoma na wote.
Mungu awabariki.Napenda kusikiliza huu wimbo nikitafakari juu ya matendo yangu.
kimilembe 2 years ago
Jkajwang na Unga LTD choir ili hii 'barua isomwe na watu wote duniani' wakati wa ku- upload video TAG ianze na maneno yaliyo rahisi kutafutwa ktk YOUTUBE: 'Tanzania gospel injili Unga ltd - sisi ni barua' na hakika watu wengi hata wale wasio wakazi wa Unga ltd watawapata kirahisi chini ya TAG; Tanzania gospel injili......
msaniiTZ 3 years ago
Asante. Nimerekebisha.
Jkajwang 3 years ago
thanks lady!
lmashua 3 years ago
nice song man keep It up.
eunikemueni 3 years ago