Mwalim alikuwa na upeo sana aliyoyaongelea ndiyo yanaikabili nchi yetu sasa i wish viongozi wetu wange usikiliza huu wosia na wawe challenged na wawe educated by his wisdom and learn from it
Mwalimu alisema kwamba Ikulu ni pahali patakatifu!!!,kama kiongozi anataka kufika ikulu basi ni lazima awe NADHIFU,sio anakimbilia kuupata urais na huku anamwagamwaga mapesa{anahonga} ili apate urais,basi huyo HATUFAI kabisa kuwa kiongozi wetu.Ikulu sio pahali pa biashara,kwahivyo anaefika huko kwa njia ya pesa atazirudisha pesa zake kwa njia gani???.[kama sio kui......].
Haya mawazo ya mzee ni ya kuyatilia maanani sana, lakini na huu Ufisadi tuafika? Mzee uliwalea hawa vijana wako wewe umekufa masikini wenzako wanakula kama hawana akili nzuri. All in all ulituachia hekima zako na busara kazi kwetu
I think he died a happy man.. loved not only us Tanzanians but the whole Africa. I would want to die like that. otherwise what the point of dying like Mobotu? Rich with an unmarket grave and outside your own country? WE have to love our people more.
@genda68 ni kweli ndugu yangu, yani sasa hivi tusiseme Tanzania ni Masikini sema mimi ni masikini kwa sababu kuna mtanzania ambaye hajawahi kujua kuumwa njaa na kukosa chakula, kutaka kusoma akakosa ada. Anabadilisha magari kama nguo wakati mwingine hata baiskeli hana.
Nyoka ni nyoka hata avae ngozi ya kuku.Watanzania wanajua kwamba TVT ilikuwa wapiga debe wa CCM. Kubadili jina kuwa TBC haisaidii. Badala yake tutaiogopa zaidi.Sera zao ndio mbaya.Wangebadili sera siyo jina.Kubadili jina kunaonyesha maovu mapya wakitumia jina jipya. RTD haijawahi heshimiwa kama chombo huru cha habari,Haitaheshimiwa ikiitwa TBC. TVT watu walikuwa wakihama wanapoanza propaganda za CCM, watafanya hiyo hata wakiitwa TBC.Kila mtu ana remote ataitumia.
mwalimu ni mtu ambaye hatasauliwa na mtanzania mwenye uzalendo na nchi yake
rwamlima 1 year ago
Mwalim alikuwa na upeo sana aliyoyaongelea ndiyo yanaikabili nchi yetu sasa i wish viongozi wetu wange usikiliza huu wosia na wawe challenged na wawe educated by his wisdom and learn from it
ohmsahila 1 year ago
Asante kwa kutukumbusha fikra za Mwalimu.
makumbele 3 years ago
Mwalimu alisema kwamba Ikulu ni pahali patakatifu!!!,kama kiongozi anataka kufika ikulu basi ni lazima awe NADHIFU,sio anakimbilia kuupata urais na huku anamwagamwaga mapesa{anahonga} ili apate urais,basi huyo HATUFAI kabisa kuwa kiongozi wetu.Ikulu sio pahali pa biashara,kwahivyo anaefika huko kwa njia ya pesa atazirudisha pesa zake kwa njia gani???.[kama sio kui......].
Kapunyu 3 years ago
Haya mawazo ya mzee ni ya kuyatilia maanani sana, lakini na huu Ufisadi tuafika? Mzee uliwalea hawa vijana wako wewe umekufa masikini wenzako wanakula kama hawana akili nzuri. All in all ulituachia hekima zako na busara kazi kwetu
genda68 3 years ago
I think he died a happy man.. loved not only us Tanzanians but the whole Africa. I would want to die like that. otherwise what the point of dying like Mobotu? Rich with an unmarket grave and outside your own country? WE have to love our people more.
Money isnt everything in this stupid life.
intrepeco 2 years ago
@genda68 ni kweli ndugu yangu, yani sasa hivi tusiseme Tanzania ni Masikini sema mimi ni masikini kwa sababu kuna mtanzania ambaye hajawahi kujua kuumwa njaa na kukosa chakula, kutaka kusoma akakosa ada. Anabadilisha magari kama nguo wakati mwingine hata baiskeli hana.
luclight81 1 year ago
This has been flagged as spam show
KIKWETE AIBADILI TVT KUWA TBC
Nyoka ni nyoka hata avae ngozi ya kuku.Watanzania wanajua kwamba TVT ilikuwa wapiga debe wa CCM. Kubadili jina kuwa TBC haisaidii. Badala yake tutaiogopa zaidi.Sera zao ndio mbaya.Wangebadili sera siyo jina.Kubadili jina kunaonyesha maovu mapya wakitumia jina jipya. RTD haijawahi heshimiwa kama chombo huru cha habari,Haitaheshimiwa ikiitwa TBC. TVT watu walikuwa wakihama wanapoanza propaganda za CCM, watafanya hiyo hata wakiitwa TBC.Kila mtu ana remote ataitumia.
gospelgtv 3 years ago
forever my hero.very intelligent.If only africa had had a few leaders like him during independence.....
magyarke 4 years ago 2
Asante 'safirisafari',
Umerejea safarini na zawadi nzuri ya marehemu Baba Nyerere JK!
subira 4 years ago
As Promised... Busara Za Wazee Zitatufikisha Mbali... Lazima Tuelewe Vizuri tulipotoka kusudi tusirudie makosa kama yapo...
safirisafari 4 years ago