Naweza kupata ala(Instrumental) ya hizi nyimbo tu. Goma kali sana,hapa hakuna cha wazaramo wala nini kama umezaliwa Dar hasa uswazi lazima upende hii midundo.
Hapo mzee ulonge kama namuona,haya ma mayasa ndio huyo ndani ya nyumba.....bhaho bhaho bhaho.....mpaka kwa mzee wa bandari...haaa sasa kumbe saSA ni mbunge...haYA mwaya.Mwanafyale-koln kwa Hitla.
Jamani, nipo huku Down Under, kila siku natafuta mindundiko, leo at last Asante kwa kupost. Waswanzi mpo
judynema 1 year ago
kweli tumeliacha kopo bongo, tunanawia upawa marekani; hahaaaaaaaa, huyo jamaa anaemtafuta kikwete niko nae, hata mm cmuoni hapa kikwete;hahahaaaaa
sonimurat 1 year ago
Ahsante sana ww unaye post hizi nyimbo maana za tukumbusha mbali sana.aiseeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ruga28 1 year ago
Naweza kupata ala(Instrumental) ya hizi nyimbo tu. Goma kali sana,hapa hakuna cha wazaramo wala nini kama umezaliwa Dar hasa uswazi lazima upende hii midundo.
rubamann 1 year ago
weerrrraaa weeerrrrrraaaaaaaaaaaaa mambo ya segere hayo...mpo wenye midomo ya upawa??hahahahah
MrMedy86 1 year ago
segere tamu duh
tzpamoja 1 year ago
Mambo ya wazaramo hayo! Kikwete yupo wapi mbona simuoni, nasikia ni mpenzi sana wa ngoma za asili?
Mthukuzi 1 year ago
kucheza hamuwez nimewavua jezi... Tamuuuuuu hodari hodari mweeee....
kiongoz 1 year ago
jamani ameliacha kopo sasa anaogea upawa .......maneno hayo mpooooo
malabeeey 1 year ago
This has been flagged as spam show
i like this song so much
jeylaniliiban 2 years ago
wewe sennge segere malaya mzuri sana. mimbo tamu.
Generalidibabu 2 years ago
Chini ya mnasi hodi hori wewe sengrere ya sina we we mama sengere malaya.
Generalidibabu 2 years ago
uuuiii aimeifunga governa...? kweli...!!!
callin76 2 years ago
segere poa kweli what up holland
ngedere 3 years ago
kwanini wajiita ngedere, una'akili za ngedere au hodari wa kupanda miti kama ngedere??
mkuki2000 2 years ago
masha matam records
bilali1000 3 years ago
I like the song so much but is too fast.
Generalidibabu 3 years ago
that's wat makes it unique and lovely.lol
mimibecky 3 years ago
@Generalidibabu Haha, too fast for dancing ama listening? Wimbo kweli unanifurahisha! :D
quaggaxp 1 year ago
segere hoyieeeee Mashallah.Asante mwibanji.
Generalidibabu 3 years ago
big up wazaramu
flontic 3 years ago
segere imetulia kweli
Nangware 3 years ago
woow,nice 1 i like dis very much...can u add more segere plz..
ashasale 3 years ago
Hapo mzee ulonge kama namuona,haya ma mayasa ndio huyo ndani ya nyumba.....bhaho bhaho bhaho.....mpaka kwa mzee wa bandari...haaa sasa kumbe saSA ni mbunge...haYA mwaya.Mwanafyale-koln kwa Hitla.
OSANNAS 3 years ago
Hao wadada wakimchukua mume wako basi wewe andika umeumia, maana mume ndio hatorudi kwako tena
lydiambanza 3 years ago
hihihi wazaramu kama nawaona na nyimbo hii..segere domo la upawa. Wapo wengi
likedatshorty 3 years ago
Kata kiuno icho mama.
BjorkBeeyork 3 years ago
Wow nice one ramso007 i love it,cool
fanygal 4 years ago
eee bwana wee! kumekucha! wazaramo hawo! waswahili halisi, mamwinyi wa Dar! ahsante ramso
mkuki2000 4 years ago