Added: 2 years ago
From: Amkenimlolala
Views: 3,605
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (21)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Sasa zitatusaidia nini hizi zote. Leo waislam wana matatizo muhimu ya kuzungumza na kujadili ili kuondoa au kupunguza lakini inasikitisha waislam leo wazungumza au kupingana vitu ambavyo havitasaidia kwa jamii.

    Jamani tuache mizozo isiokua na misinji na tufanye ya muhimu kwa jami yetu.

    WAALEKUM SALAAM

  • MASKIINI BAHERO AME PEWA CHALLENGE AME SHINDWA KUJIBU AME BAKI NA MWAMADI SI MUHAMMAD .. KAMA NI KWELI ANGEJIBU SUALA LA NAJDI IKO WAPI NA AKUBALI KUWA AMEMZULIYA INUHAJAR UWONGO...MAWAHABI KAWAIDA HAWANA INSWAAF

  • Boss bwana HUSHAA6372 sisi watu wa al sunnah wal jamaa twasema kwamba kuteza haifai hatujali ni nani wala ni nani hata kama ni shekhe,walii,alhabib,sharifu,n­a mabwana wowote munaowajuwa wenyee ilimu na hata kama hawana ilmu twasema kwamba kuteza haifai hatujali ni nani wala nani,wanawake wenyewe wamekatazwa kuteza na matezo ni ya kike itakuwa wanaume,ichani mungu kuteza haifai,haifai,hafai.ni makosa tena ni makosa waasalamu alykum.

  • MrUkweli, samahani ndugu yangu. Kwanza nimefurahi kuuonyesha ufahamu wako mdogo juu ya dini ya kiislamu. Wewe, umeacha haki kwa mapenzi, ndugu yangu fungua macho na toa taka masikioni maana dunia hii ndio inamalizka. Uzushi munaoufanya kumsingizia Mtume SAW, hautosimama. Hao mashekhe wenu feki wamekwisha zao. Ittakillah.

  • A.a nyoteni,Kwanzo ninge penda kumpongeza bahero kwa juhudi hii alofanya na anayo endelea kufanya,Inshallah Mungu akupe moyo hunu hunu.ninngependa kumpongeza feiz na mr.ukweli,na kuwajibu watu hawa, Husha bahero hana wivu wala hamtakii habib wenu jufri ubaya bt awaonesha uzushi jufri anaotuzulia na nyinyi muko mukimwita alhabib,hii ni dalili tosha kuwa jufri mwenyewe hampendi Mtume,kama ampenda then asinge toa hadith dhaif.

  • hebu niambie nami jufri alisoma wapi ikiwa kweli wamjuwa sufi khurafi wewe....

  • Je wewe ni mwana funzi wa nani? ikiwa shekhe wako ateza msondo katikati ya wananwake ? angalia hii video " Bahero Hana Inswaaf1 4 " weka dakika ya 6.56 na utujibu.............

  • bahero angalia hii video "Bahero Hana Inswaaf1 4" katika dakiaka ya 6.50 na utujibu jee huyu ni msufi ? au ni nduyo wahabi akiteza na katikati ya wanawake. mbona hukumkashifu kwenye video zako..............Je hivi ndivo mtume atakuwa na furaha naye? sheikh bahero jufri hakuteza kati ya wanake msondo.

  • na huyo alocheza si bahero,by the way kwani hujui kama pia ustadh wa kina jufri alisulubiwa kwa kazi hiyo hiyo anao fanya jufri ya kutoa hadith za uwongo

  • @husha6372 KAMA HUYO SHEKHE AACHEZA...SO! Amefanya makosa na hatukubaliani nao kabisa. Sisi na nyie ni jambo moja tu! Aqida Aqida Aqida....kwa nini muwe wenye kupenda kuabudu makaburi (munaabudu makaburi kwa sababu munataka msaada kwa walokufa) - shirk nyingi nyingi ndio mnajua - coz hatuwezi simama kuwapinga so long as nyie ni threat kwa TAWHYD.

  • sheikh baheeeeeeeeeeero maulidi tuta soma madufo tuta piga do what u want waacha fitna zaako wewe umebeeba fiitna tuu baas sisi waislaamu fitna hatutaaki

  • @historywiljudge na ikibidi pia mukate viuno barabarani na leso muvae na pia ujue huo wenu ni uisi amu ni dini ya mau sio alio kuja naoyo mtume hebu njoni musomeshwe mijoma nyinyi

  • hujakatazwa kupiga bt juwa mumezuwa nyinyi huo mchezo,na haumo katika dini.

  • Angalia duniya nzima wanavyo mheshimu al-habib al-jufri na wanao jua hadi yake mpaka ndani ya Saudia wote wana mheshimu Daraja yake...........

  • si dunia nzima ni nyinyi ndio mwaheshimu watu wazushi.

  • Sheikh bahero waonyesha una wivu sanaaa na Al-habib Ali Al-jufri.......maana wamtaja sana.Elimu aliyo nayo Al-habib Al-jufri humfikii hata kidogo shekhe. Ama baado una ule wivu walo nao aali saudi juu ya ahlu bayti.........

  • hana wivu bt anamasikitiko kwa vile huyo unaye mwita habib anvyo towa hadithi dhaif kibao na bado umakazana habib jufri,huwa kadhaab,n bahero anaona vibaya kwa Mtume kusingiziwa,wivu munaonyinyi musokuwa na dalili,Bahero zidisha zingine uzidi kutuelimisha,hawa wana wivu wakiona watu waanza kugundua.

  • Sh. Bahero, Mwenyezi Mungu akuzidishie ilmu. Baada ya kuziangalia clips zako sina budi kukombea kwake SubhanWataala akupe nguvu za kuendeleza mafundisho ya kututoa katika ujinga. Yarabbi, tuondoshee maovu na Utuonyeshe njia ya haki tuifuate -Amin.

  • @feiz3180 wewe hujui wazungmza 2 wala hujui tafautisha msomi na sharif jufri amesoma wapi ikiwa jujui nyamaza zuka wewe wafuata maji kama mtimbi

  • MAKHURAFI HAWANA WASHIKAPO, ITABIDI WARUDI KUSOMA DINI AMA WATAZIDI KUTOKOMEA, WAO WAPAWA DALILI ZA WAZI, LAKINI WAO WAJIBU MAMBO AKUDHIA, KUZUA NA KUJIFANYA NAHAU WAIJUA WAO, mUNGU AVAONGODHE NANI, NASISI PIA INSHAALLAH

  • @mabomu makhurafi wana masikio lakini hawasiki wana macho lakini hawaoni wao ni kama wa nyama mola 2sitiri

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more