huyu msanii sikuwahii kumshuhudia
ila nampenda sana Marijan Rajab
kazi zake nzurina zaakili na daima zitaishiii
wakati huo nipo nyumbani Zanzibar nazisikia kupitia RTD
NA STZ na nikizipenda sana
jamani nimemiss nchi yangu, from USA
misskassim90 2 months ago
niko ujerumani naburudika sana na muziki wako marijani
hayo kashanipata mashaini mwangu. lakini yaliyopita si ndwele tugange yajayo
supu43 6 months ago
kweli wangu, nyimbo hizi zinagonga ukuta dah!!!!!
sonimurat 7 months ago
YANI MUU NDIO MZIKI WA KIMBINGO KWELI / HAKUNA BONGO FREVA WALA BONGO NINI.
ASANT SANA
mtengwa 10 months ago
asant sana nilikuwa mtoto
Sina la kusema, yote yasemwayo yametokea kwangu in real life. Mungu amsamehe mkosaji. Wanaume kama hao wanarudisha maendeleo ya taifa
judynema 1 year ago
@judynema POLE DADA KWA YALIYOKUPATA, HUKUZALIWA JUU YA MITI, UNAKO KWENU KWA BABA NA MAMA.
mayamba65 1 year ago
Safi hizi ngoma. Message zinaeleweka
Biteme358 1 year ago
@Biteme358 ni kweli kaka, tutamwita tumkanye akizidi akirudia nitakua shaidi yako,,,
Usia2 10 months ago
tizedboy nitafurahi sana ukitupa pia 'si wema' kisha 'mama watoto' zote hizi za marehemu Marijani Raajab
wangaable 1 year ago
buldoza, tungo zenye ujumbe mzito , sio leo hii kila mziki nakupenda nakupenda utawapenda wangapi, vijana wa bongofleva umizeni vichwa ili mfikie kwa hawa waliowatangulia
MrSinafungu 1 year ago
Ee bwana Tizediboy...huu ndo muziki kweli. Yaani nakupa Big up ile mbaya!
MightyLumber 2 years ago