taarab ni mafumboo, na wazee wetu wakitufunza mafumbo hayo kupitia nyimbo, vitendawili na hasa vitendawili, lakini sasa utamaduni wetu umepotea husikii mtoto akitoa kitendawili wala kusoma mashairi. tujitahidini watu wa east afrika.
ukweli ni kwamba naumia kuona jinsi utamaduni unapotea.....watu wanaharibu kiswahili na kila kitu kilocho karibu yake.......mashairi,misemo.naumia kua nahisia watoto wetu hawatakulia wakiskia miziki kama hii
Hii ndio taarabu ya asili>>Lakini leo tunasikia taarabu kama muziki wa dansi>>Ndugu zangu jaribuni kurudi nyuma muimbe taarabu kama hizi za zamani>.Na taarabu asilie ni pwani sio bara, kwa sasa utaona hata ndugu wasiojua nini maana ya taarabu wanaimba kwa kutumia gittar ambalo halihusiki ktk taarabu shukrani

lisha1985 4 months ago
ukweli ni kwamba naumia kuona jinsi utamaduni unapotea.....watu wanaharibu kiswahili na kila kitu kilocho karibu yake.......mashairi,misemo.naumia kua nahisia watoto wetu hawatakulia wakiskia miziki kama hii
lizardume 11 months ago
Hii ndio taarabu ya asili>>Lakini leo tunasikia taarabu kama muziki wa dansi>>Ndugu zangu jaribuni kurudi nyuma muimbe taarabu kama hizi za zamani>.Na taarabu asilie ni pwani sio bara, kwa sasa utaona hata ndugu wasiojua nini maana ya taarabu wanaimba kwa kutumia gittar ambalo halihusiki ktk taarabu shukrani
MrNass2000 1 year ago 2