Added: 4 years ago
From: mwambaocom
Views: 5,726
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (3)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • nchi ya kenya itachukua mda mrefu ndipo iwe kama zamani.shida ilo na sisi wakenya ni kinyongo na ukweli hakuna asemae.wakikuyu na wajaluo tumeishi miaka na mikaka bila vita na kati yetu ndoa zilifanyika...pia makabila meingine pia vile vile.wanaonea tu wakikuyu na mungiki ati ni wakora na wauaji.napinga msemo huo 100 percent...kwani kama hawakuchokozwa nakuuliwa na kunyanganywa mali yao,mashamba na kadhalika..haya yote

  • hayangetokea,je,na wajaluo walipoanza kuua wakikuyu serikali ilisema nini? ohhh ni wakikuyu..ohhh ni mungiki...nijuavyo mkikuyu nimpenda amani na hachokozi.ukweli ni kuwa wajaluo na wakikuyu walikosea wote na sasa tumeingizwa wakenya wote..ilobkia ni kuomba tu mungu atusaidie.

  • i hope the government of kenya is doing something regarding security coz that is one thing that should be on the a priority.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more