(Solo) Upendo wa Mungu kweli ni wa ... (All) Ni wa ajabu x 2 Chorus: Waweza kwenda juu, waweza kwenda chini, Waweza kwenda/songa mbele, waweza rudi nyuma, Upande, Upande kwa mataifa yote. (Solo) Baraka za Mungu kweli ni za ... (All) Ni za ajabu x 2 Chorus: Zaweza kwenda juu, zaweza kwenda chini, Zaweza kwenda mbele, zaweza rudi nyuma, Upande, Upande kwa mataifa yote. Then you add other stanzas:- Rehema za Mungu, Huruma za Mungu, etc
oooh i love this song god bless
thugz00 2 years ago
This pampio (chorus) is very famous all over Tanzania. We sang and heard it from Mbesa (Tunduru) to Dodoma.
mswisi 4 years ago
mungyu awabariki jamani mnaimba vizuri sana napenda huo wimbo saana ningependa mniandikie
bobjams1 4 years ago
GLukwaro 4 years ago