HAPA SAWA HUU NDO USANII NA UBUNIFU TUNAO ULILIA KWA WASANII WETU KILA LEO .SI UTANI UNAWEZA WE NI MSANII HASA .MAANA NYIMBO ZAKO SIKU ZOTE HAZICHOSHI KUSIKILIZA. HONGERA.
Baba hakika kazi yako ni kiboko. namaanisha kuwa unaelewa nini unafanya. kweli mashahiri yako ni ujumbe tosha kama nabii. Mungu akuzidishie elimu na maarifa katika kuelimisha jamii ya watanzania maana wengi hatujaelewa kiundani jinsi mwanadamu amavyopaswa kuishi ama kuwa.
Mashairi na ujumbe mzito ulo ndani ya wimbo huu unadhihirisha another one step forward of Mrisho mpoto distinguishing himself from other wasanii of TZ. However, huyo Mdada Maunda mavazi yake kidogo hayaendani na ujumbe mzima wa wimbo huu. Angalivaa kanga mbili au kaniki au gauni bayabaya hivi mithili ya akina mama wa kigogo wa pale ubungo mataa, ingeendana saana. Hapa alivyovaa anaonekana ki-shostito fulani hivi hawiani na hayo maneno anayoyaimba.
Kwa kweli sijuwi la kunena, yaani video hii, wimbo huu, shairi hili vimenidara saaaana mpaka ndani ya keto ya mtima wangu! Maneno yatamfikirisha hata maiti. Na kuwa mie ni Mmarekani mweusi, omg, ujumbe una umuhimu wa pekee. Ahsante, ahsanteni.
mzalendo wa Kenya mimi napenda ujumbe wako mzito unaotupa Mpoto kila nisikiapo mi huguswa na ujumbe wako juu ya hayo yote usemayo si eti yanafaa tu kwa wenzetu waTanzania ila pia kwetu Kenya hongera kwa kazi nzuri ufanyayo endelea kuangaza mambo muhimu.
i do like it so much because the man always talks realty,wengne ni mapenz tuu ahaa|
MrGasperoby 2 months ago
HAPA SAWA HUU NDO USANII NA UBUNIFU TUNAO ULILIA KWA WASANII WETU KILA LEO .SI UTANI UNAWEZA WE NI MSANII HASA .MAANA NYIMBO ZAKO SIKU ZOTE HAZICHOSHI KUSIKILIZA. HONGERA.
josephatmfungo60 6 months ago
Baba hakika kazi yako ni kiboko. namaanisha kuwa unaelewa nini unafanya. kweli mashahiri yako ni ujumbe tosha kama nabii. Mungu akuzidishie elimu na maarifa katika kuelimisha jamii ya watanzania maana wengi hatujaelewa kiundani jinsi mwanadamu amavyopaswa kuishi ama kuwa.
thenamshana 8 months ago
mmh we acha tu
genendo 9 months ago
hakuna cha kuongeza uncle
mchaggatonny 10 months ago
Mrisho, hishma kwako kwa kazi nzuri unayofanya.
Falasha28 10 months ago
Hii ni kazi nzuri sana na inaitaji pongezi. Asante Mrisho
mgonzwa1 11 months ago
Mashairi na ujumbe mzito ulo ndani ya wimbo huu unadhihirisha another one step forward of Mrisho mpoto distinguishing himself from other wasanii of TZ. However, huyo Mdada Maunda mavazi yake kidogo hayaendani na ujumbe mzima wa wimbo huu. Angalivaa kanga mbili au kaniki au gauni bayabaya hivi mithili ya akina mama wa kigogo wa pale ubungo mataa, ingeendana saana. Hapa alivyovaa anaonekana ki-shostito fulani hivi hawiani na hayo maneno anayoyaimba.
yaaser67 1 year ago
Kwa kweli sijuwi la kunena, yaani video hii, wimbo huu, shairi hili vimenidara saaaana mpaka ndani ya keto ya mtima wangu! Maneno yatamfikirisha hata maiti. Na kuwa mie ni Mmarekani mweusi, omg, ujumbe una umuhimu wa pekee. Ahsante, ahsanteni.
Mtembezi
mfundishaji 1 year ago
This has been flagged as spam show
Mbona mlitoa lile Video ya "Nikipata nauli?" Bring it back!!!!!!
Tchirchir13 1 year ago
Mrisho uko juu mzee! Ujumbe umekaa vizuri, una mantiki sana, unaenda na wakati, unahitajika na umekaa kiTanzania!!
afp607 1 year ago
safi sana mrisho kazi nzuri
edondaki 1 year ago
.....now huu ndo mziki tunaotaka kusikia....!
paesulta 1 year ago
mzalendo wa Kenya mimi napenda ujumbe wako mzito unaotupa Mpoto kila nisikiapo mi huguswa na ujumbe wako juu ya hayo yote usemayo si eti yanafaa tu kwa wenzetu waTanzania ila pia kwetu Kenya hongera kwa kazi nzuri ufanyayo endelea kuangaza mambo muhimu.
mburi 1 year ago
Mjomba, kazi nzuri na ujumbe unaoielezea jamii yetu ya ki-Afrika miaka hii ya sasa.
Natumaini wameelewa.
msaniiTZ 1 year ago