Mzee Alhaji Rashiid Mfaume Kawawa alikuwa muanzilishi wa Taifa letu la Tanganyika, pamoja na hayati mwalimu Nyerere, alikuwa makamo wa kwanza wa rais wa Tanganyika, alishika wadhiifa mwingi katika serikali, alikuwa pia Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania,,wakati mimi niko jeshini Kyaka Bukoba mwaka 77 Mzee Kawawa alikuwa waziri wa Ulinzi. na alijulikana kijeshi wakati wa vita vya kagera/Uganda kama SIMBA WA VITA.. kifo cha Mzee Kawawa kimeacha pengo kwa Taifa na Chama cha CCM.
This has been flagged as spam show

MrIbrahimaa 7 months ago
Comment removed
MrIbrahimaa 7 months ago
Mzee Kawawa alikuwa nani na alifanya nini? Tuelimishe tafadhali.
mytime81 1 year ago
fudnda!
Minneh99 1 year ago
RIP Mzee wetu KAWAWA. Mungu akupe mapumzisho mema na milele hatutakusahau.
SIKONGE 2 years ago
Rest in Peace Shujaa Rashid Kawawa! You will be missed!
Farajatz 2 years ago
Comment removed
kevruta 2 years ago