this is among the best bongo songs i have ever heard..on a scale of 1 to 10 i give it 8...wow...Dully uko poa....si u train my fellow kenyans for me...bongo mko mbele si siri jamani.......muuuuuuuuuuaaaaah
love the bits.lyrics and the whole picture this is a really good videa and it shows how big step we did swali langu ni hili kwanini videa au nyimbo zetu zinakua nzuri pale tunapoimba na watu wa njee kutoka marekani au nchi zengine? inamaana hatuwezi kumpata mdada kama huyo hapa bongo? ingependeza kweli kama waimbaji wote hao wangekua wa kibongo ila videa na nyimbo kwa ujumla ni nzuri tena imetulia sana
Tatizo kubwa la video za bongo wanatumia camera za kurekodia kitchen party kutengenezea video zao and what makes it even worse wanajaribu kuiga nyimbo za wasanii wa nje, tena wanajaribu kuimba kwa kiingereza ili hali wakijua dhahiri wadau wengi wa nyimbo zao ni watu ambao ngeli imeenda kushoto, jirekebisheni fuateni mfano wa 20 percent
@MrReeval 20 percent had his target audience and these guys have their own target audience...Ukiwa a musician its not feasible to want to reach EVERYone in the market...thats the core aspect of marketing...20 percent cuts across Tanzania and swahili speaking markets as well as places with Tanzanians in other parts of the world but thats it...The use of both Swahili and English in some songs maintains the our launguage as well as intriduces parts for external parties to feel like they belong.
@Kellz3119 I didn't say that they have to reach Everyone but reach as many as possible, isnt that the 'core aspect of marketing?' most of those who to listen to Bongoflava music are mainly swahili speaking folks, you'll have to agree with me that if they continue making the 'wannabe sean paul or beenie man' tracks they will lose more than gain new audience because there are already as many artists in the music industry doing the same.
This song can be played in a foreign club and people will be able to sing along...It all have to do with target audience...Not everyone can be or WANTS to be nor listen to 20 percent.
mi mwenyewe ningependa gwea achane ila ngoma tayari ni 5.27 so its all gud ila mjamaica hakufanya makosa,dully your voice is awesome! cpwaa nakupa tano man
Its a nice video though nimechukia pia ngwair hajarap na ninavolike anavo flow. Halafu kama vyenye kuna background voice ya Joe makini ".... in the house"
Ngwear mi bonge ya mfuasi wako kitambo hata b4 gheto lako. Unafiki sifagilii inapobidi. Hii ngoma kali ila sijaziona flow na swaga zako wala rhym zako zenye maneno yenye mvuto kama nilivyozoea. Hitimisho langu hii ngoma umeiuza. Big up Cpwaa makamzi ya kimataifa. Hey Duly huu wimbo wa kwanza kukukubali...keep on moving. Bravo Bongo Flava from Tanzania kunako Zanzibar paradise...ha ha ha...missing my home...
the girlsss.... WHOA!
jahbless011 3 weeks ago
nice song biut she can't dance.. -.-
HoochieMama81 4 months ago
@HoochieMama81 Hahaha true dat !
Kevizzle05 2 months ago
this is among the best bongo songs i have ever heard..on a scale of 1 to 10 i give it 8...wow...Dully uko poa....si u train my fellow kenyans for me...bongo mko mbele si siri jamani.......muuuuuuuuuuaaaaah
gertyburure 5 months ago
the video is kawaaaaaaaaa johary hapa toke kla
minhomaine 7 months ago
trt is from trinidad/engand ot jamaic she just sing jamaican music
veena7986 7 months ago
love the bits.lyrics and the whole picture this is a really good videa and it shows how big step we did swali langu ni hili kwanini videa au nyimbo zetu zinakua nzuri pale tunapoimba na watu wa njee kutoka marekani au nchi zengine? inamaana hatuwezi kumpata mdada kama huyo hapa bongo? ingependeza kweli kama waimbaji wote hao wangekua wa kibongo ila videa na nyimbo kwa ujumla ni nzuri tena imetulia sana
MrFunnky1 8 months ago
mmepiga hatua bongo flava hii track naikubali .kasoro ni za kuzitafuta
MrTangawizi 8 months ago
dis song go hard
Mtznajua 9 months ago
track yenyewe nzuri. Camera ndo imenasa picha vibaya.
erimusa11 9 months ago
camera down,,,,lights off......then....another cpwaa nyc vid
dibeson 10 months ago
nice
dibeson 10 months ago
SP UMEFUNIKA MBAYA SANA BRO
alexuiso 10 months ago
dh0p, sana 2. I lije the video.
abbyangelo713 10 months ago
yes.....kili award to this itz true..
Rubenmwakilima 11 months ago
man dis song is sick
yuseff456 11 months ago
this ngwea is alway play his dem party so gud,
kennedybakary 11 months ago
I'm a Tanzanian currently in the USA... The video is the best. I don't know the artists very well but keep it up guys. The track is clean.
t1910j 11 months ago
Tatizo kubwa la video za bongo wanatumia camera za kurekodia kitchen party kutengenezea video zao and what makes it even worse wanajaribu kuiga nyimbo za wasanii wa nje, tena wanajaribu kuimba kwa kiingereza ili hali wakijua dhahiri wadau wengi wa nyimbo zao ni watu ambao ngeli imeenda kushoto, jirekebisheni fuateni mfano wa 20 percent
MrReeval 1 year ago
@MrReeval 20 percent had his target audience and these guys have their own target audience...Ukiwa a musician its not feasible to want to reach EVERYone in the market...thats the core aspect of marketing...20 percent cuts across Tanzania and swahili speaking markets as well as places with Tanzanians in other parts of the world but thats it...The use of both Swahili and English in some songs maintains the our launguage as well as intriduces parts for external parties to feel like they belong.
Kellz3119 11 months ago
@Kellz3119 I didn't say that they have to reach Everyone but reach as many as possible, isnt that the 'core aspect of marketing?' most of those who to listen to Bongoflava music are mainly swahili speaking folks, you'll have to agree with me that if they continue making the 'wannabe sean paul or beenie man' tracks they will lose more than gain new audience because there are already as many artists in the music industry doing the same.
MrReeval 5 months ago
This song can be played in a foreign club and people will be able to sing along...It all have to do with target audience...Not everyone can be or WANTS to be nor listen to 20 percent.
Kellz3119 11 months ago
mi mwenyewe ningependa gwea achane ila ngoma tayari ni 5.27 so its all gud ila mjamaica hakufanya makosa,dully your voice is awesome! cpwaa nakupa tano man
sirgtb 1 year ago
no comment in the video its cool make tz pipo high...
TheTyle04 1 year ago
Comment removed
ebaisitv 1 year ago
Ngwear hajautendea haki kabisa kibao hiki!
kibunango 1 year ago 2
This video is hot;dully sykes voice is very very entertaining.Ms Triniti is just sexy.
codeigniterx 1 year ago
goood big up wazeee
mwinyi1000 1 year ago
Kind of lame video
DivaGabby1 1 year ago
Its a nice video though nimechukia pia ngwair hajarap na ninavolike anavo flow. Halafu kama vyenye kuna background voice ya Joe makini ".... in the house"
omogate76 1 year ago
Halafu the main beat ya huu wimbo ni ile ya mikasi ya Ngwear ... hawajamtendea haki kabisa ngwear kwa kumzuia kuchana.
darmillionaire 1 year ago
mambo bad..
booker1234ful 1 year ago
kitu kikali ila ngwear sikupenda alivyooimba alitakiwa a rap sio kama kawaida yake angeuwa katika hili truck,kitu kikali kabisa
MrShickland 1 year ago
thats great cpwaa! keep up the good work!
allyfahmy 1 year ago
Comment removed
malthea100 1 year ago 3
Comment removed
malthea100 1 year ago 2
Babu Cpwa uko nondo kaka... Nimekukubali kaka...., Ngwair mambo powa
mponjoli2 1 year ago
Lol Dully Sykes has that Congolese Look....I hope it works out for them!
TanzanianDream 1 year ago
tyt
kingbigy1 1 year ago
track kali, ila ngwear ana madini kimsingi hajanitendea haki ilibidi aspit verse nzima Big up c-pwaaa
krakavelid 1 year ago
Ngwear mi bonge ya mfuasi wako kitambo hata b4 gheto lako. Unafiki sifagilii inapobidi. Hii ngoma kali ila sijaziona flow na swaga zako wala rhym zako zenye maneno yenye mvuto kama nilivyozoea. Hitimisho langu hii ngoma umeiuza. Big up Cpwaa makamzi ya kimataifa. Hey Duly huu wimbo wa kwanza kukukubali...keep on moving. Bravo Bongo Flava from Tanzania kunako Zanzibar paradise...ha ha ha...missing my home...
michaejp1 1 year ago
nice
jtriniti 1 year ago
0:22 to skip
joekabyemela 1 year ago
mbona kampa Ngwair dakika tano za kuflow.....Ngwair twataka uroge na lugha ya mama
LeuntenantZero 1 year ago
Hii ngoma ni moto big up to C.P n al da pips innit..
Teqin bongo music is wat u seing in this video
Bling9095 1 year ago
Comment removed
rinnionnTV 1 year ago
Comment removed
rinnionnTV 1 year ago
demu kawafunika kuanzia video,kuimba,kujiacha,,na kila kitu,ahahahahahahaahahahahah kweli star ni starrr tuu,,,
na mchezaji bora achagui uwanjaa,,kaka zangu mmepigwa magoli uwanja wa home,,,ila ngoma kali vibaya saanaaa,,PAH MOH JAH C PWAAAA
Treyless1 1 year ago
this collabo is wasap pwaa,exactly what tha industry needs!and tha video z off tha chain daaaaaaaaaaaaaaaawg.kali sana arif,pamox
hoodpixx 1 year ago