hey kanumba ur my idol u doing very well keeping present us and do ur job ,one day u will get there , all bulshit to people its makes u to be strong and succesfull trust me .....i love ur job
kanumba stop being a cryin baby!! go cry to ur mama!! bonge la jamaa, " 2 be honest, im disapointed!!"... JIKAZEEE, hii ni show biz!!... CRYIN BABY!!! BWAHAHAHAHAHHAHAHHAHA... MAN UP!!
Kanumba we uko safi- Ila tatizo kama ilivyo kwa wasanii wengine maarufu ni hilo la matumizi ya lugha. Hapa unaongea mara Kiingereza mara Kiswahili sasa ndiyo ninii?Jifunze Kiswahili fasaha ndiyo lugha yetu ya taifa sio Swanglish. Achana na wanaotukuza kiingereza ni watumwa...jisifu kwa kuongea Kiswahili ila usikichafue kwa kuchanganya. Bora uchanganye na Kisukuma..kiingereza kitu gani?
Nakutakia kila la kheri na hongera kwa kung'ara kisanii na kutuelimisha kupitia sanaa. Ila punguza mapouda..
kumbuka kwamba si wote wanaokupenda na pia wako wanaotaka usifanikiwe tena wanapika majungu ya fitina dhidi yako! kiingereza nini kiingereza wewe! kiingereza kitu gani kwetu? si lolote si chochote! hata kama ungezungumza kisukuma au kiswahili hao waliyosema yao wangeliyasema tu. jambo muhimu kwao si lugha bali ni wewe , na wanasaka kila njia za kukuvunja moyo katika mchakato mzima wa usanii wako. Tubebee bendera yetu ya Tanzania na ya usanii wa Tanzania sisi tuko pamoja na wewe.
Kwanini unaumizwa na hao wenda wazimu wanaodhani kuwa kiingereza ndio maendeleo? Achana nao hao! fanya kazi yako waweke kando hao na wala usiwajali! kuna watu ambao hiyo ndio kazi yao. sisi watanzania tunaokupnda tumeona kazi yako ya kisanii na tunakukubali vrzuri kabisa tena asilimia 100. tunakuomba utosheke na hilo.
Mr Kanumba, nasikitika saana kwa hayo yaliyokukuta na nakupa pole sana. Mimi sikuyaona haya mapema. Lakini kama ni mtanzania baada ya kuyaona nikaona nami nitoe maoni yangu kwako nikiwa na matumaini kuwa utasoma tu. Kuna kitu kimoja unapaswa kujua ni kuwa wewe kama msaniii utakumbana na mengi saana lakini jambo la msingi ni kutoyajali yale ambayo hayana umuhimu wowote kwako.
Wachana na hao watu .kila siku wenye wivu ndio wanaotia watu matope. kwa hivyo wewe endelea na fani yako na wala usibabaike na hao watu kwa sababu kilicho pangwa na mungu kiumbe hawezi kukifuta. Kaka Kanumba usife moyo hata Arnold govorner wa california alienda amerika kuanza kazi ya filamu akiwa hajui hata neno moja la kiengereaz. JAMANI KUONGEA KIENGEREZA SIO KUENDELEA . Tujivunie lugha yetu na tuache ukoloni mambo leo. Endelea Kanumba wala usirudi nyuma
Hey Steven, i think that your are one of the best actor in Tanzanian movies, When i watched your movies i understand them better from the beginning of the movie to the end, more than other Tanzanian movies thats why so many Tanzanian wako na wivu, because your 100% good actor, i mean it from the bottom of my heart...................................dont worry what people are saying about you, just live your life to the fullest.....................more haters more blessing man..........keep it up
I am very proud of u bro. I am a Tanzanian and feel very glad when my fellow Tanzanian comes and does something very significant like you have always done. Keep it up! Never sit back and think of what other people are thinking or talking about u. That's the stupidity that many Tanzanians still have; and that's is nothing but jelousy. Like u said, many stars can't speak English but no body talks about them. U see? Silly people are alwas looking for negatives. Keep it up bro, u r so GREAT!!!!!!!!
Here in Lamu Mombasa, every one is talking about Kanumba movies, they like them so much. Are you from Tz do u know Kanumba, I like his way to act, I like him,That is how they express themself, keep it up.
watu washamba wanaona kuongea kiengereza ni dili kumbe wajinga tu mafala hawana mpango hongera Kanumba zidisha kiswahili hata kama unajua kilugha cha mama tu bomba, kama ulivyosema koffi kizungu hajui na wala hajali na mambo yake yapo juu, poa moto.
we love you and so proud of you and keep it up , after all dnt worry abt english sisi wote tunaongea broken bro but keep working hard . love you acha wachonge wanaochonga ni wivu tu unawasumbua
da kaka we. jamaa angu ukiwa star mambo ayo ni yakawaida tu. kuna wale wananyodo kibao. yani imeeenda mpaka ikapita na nyodo iyo< eeh. jamaa ilove your acting man. babu yangu alikuja juzi tu akaleta movie kazaa kama family tears man the best tanzania movie i have ever watched. nanyingine kazaa. kaka yangu mwangalie britney spears uku america da. na watanzania wenzangu tu wa encourage watu wetu wanao itengeneza na kuipa inch yetu sifa nzuri. God bless.
we tanzanians are born haters man never want to see people succed, fcuk dawg u atleast tried 2 stand out in the crowd bt wer r u haters....tokin 2 urslvz..fcuk dts man stop hatin nd appreciate, he might nt knw hw 2 speak well tamed english bt son he is tryn, he deserves a credit nd he z not shy about t,so kanumba ol da best son.....represent...........nd fcuk ol of ur haterz
yeah, i dont f**kn know what difference does it make? those are the problems we have, as tanzanians we should be proud of ourself, just having a rep to go beyond and wave our flag. Those m****rf***ers who pulls those critics are more likely to be as dumb as hell. so big up kanumba, and knowing western linguo is some sort of a choice and another form of imperialism, do they have any interest in speaking fluent swahili?? so shut the f**K up and let it slide, .
TAbia hii iliyojengwa na watanzania ni uswahilli....atelast mwenzetu kanumba kafika hapo...watanzania watakaa wakiponda ovyo bila lengo na haitowafikisha popoteee.....With every life of a succesful person lies a pack of haters
Kanumba i feel u my brother,yani umenigusa sana kaka.Kama ulivyosema,we endele tu kudumisha sanaa yako na please usife moyo.Ndiyo Tanzania hiyo.
MrMechili 3 months ago
hey kanumba ur my idol u doing very well keeping present us and do ur job ,one day u will get there , all bulshit to people its makes u to be strong and succesfull trust me .....i love ur job
misfit959 7 months ago
kip it up CRACKER
steagul2 8 months ago
kip it up nigger
mbogaful 9 months ago
u're the best ever
555555555882 9 months ago
c"mon
555555555882 9 months ago
Comment removed
555555555882 10 months ago
kanumba stop being a cryin baby!! go cry to ur mama!! bonge la jamaa, " 2 be honest, im disapointed!!"... JIKAZEEE, hii ni show biz!!... CRYIN BABY!!! BWAHAHAHAHAHHAHAHHAHA... MAN UP!!
mkubwa1986 11 months ago
Kanumba we uko safi- Ila tatizo kama ilivyo kwa wasanii wengine maarufu ni hilo la matumizi ya lugha. Hapa unaongea mara Kiingereza mara Kiswahili sasa ndiyo ninii?Jifunze Kiswahili fasaha ndiyo lugha yetu ya taifa sio Swanglish. Achana na wanaotukuza kiingereza ni watumwa...jisifu kwa kuongea Kiswahili ila usikichafue kwa kuchanganya. Bora uchanganye na Kisukuma..kiingereza kitu gani?
Nakutakia kila la kheri na hongera kwa kung'ara kisanii na kutuelimisha kupitia sanaa. Ila punguza mapouda..
michaejp1 11 months ago
kumbuka kwamba si wote wanaokupenda na pia wako wanaotaka usifanikiwe tena wanapika majungu ya fitina dhidi yako! kiingereza nini kiingereza wewe! kiingereza kitu gani kwetu? si lolote si chochote! hata kama ungezungumza kisukuma au kiswahili hao waliyosema yao wangeliyasema tu. jambo muhimu kwao si lugha bali ni wewe , na wanasaka kila njia za kukuvunja moyo katika mchakato mzima wa usanii wako. Tubebee bendera yetu ya Tanzania na ya usanii wa Tanzania sisi tuko pamoja na wewe.
MegaKibwana 11 months ago
Kwanini unaumizwa na hao wenda wazimu wanaodhani kuwa kiingereza ndio maendeleo? Achana nao hao! fanya kazi yako waweke kando hao na wala usiwajali! kuna watu ambao hiyo ndio kazi yao. sisi watanzania tunaokupnda tumeona kazi yako ya kisanii na tunakukubali vrzuri kabisa tena asilimia 100. tunakuomba utosheke na hilo.
MegaKibwana 11 months ago
Mr Kanumba, nasikitika saana kwa hayo yaliyokukuta na nakupa pole sana. Mimi sikuyaona haya mapema. Lakini kama ni mtanzania baada ya kuyaona nikaona nami nitoe maoni yangu kwako nikiwa na matumaini kuwa utasoma tu. Kuna kitu kimoja unapaswa kujua ni kuwa wewe kama msaniii utakumbana na mengi saana lakini jambo la msingi ni kutoyajali yale ambayo hayana umuhimu wowote kwako.
MegaKibwana 11 months ago
Kwani kiingeleza ni Lugha yako, Is not your mother tongue. Achana nao babaa
MrAnthony3476 11 months ago
usijali baba, hawa wanaosema wasikushughulishe, Songa mbele Babaa
MrAnthony3476 11 months ago
pole sana kaka ndo nchi yetu hiyo kanumba usikate tamaa wapotezee we fanya mambo wasikuumize kichwa bro God bless u.
TheIzoooo 11 months ago
Wachana na hao watu .kila siku wenye wivu ndio wanaotia watu matope. kwa hivyo wewe endelea na fani yako na wala usibabaike na hao watu kwa sababu kilicho pangwa na mungu kiumbe hawezi kukifuta. Kaka Kanumba usife moyo hata Arnold govorner wa california alienda amerika kuanza kazi ya filamu akiwa hajui hata neno moja la kiengereaz. JAMANI KUONGEA KIENGEREZA SIO KUENDELEA . Tujivunie lugha yetu na tuache ukoloni mambo leo. Endelea Kanumba wala usirudi nyuma
juniorborbo 1 year ago
Hey Steven, i think that your are one of the best actor in Tanzanian movies, When i watched your movies i understand them better from the beginning of the movie to the end, more than other Tanzanian movies thats why so many Tanzanian wako na wivu, because your 100% good actor, i mean it from the bottom of my heart...................................dont worry what people are saying about you, just live your life to the fullest.....................more haters more blessing man..........keep it up
sexma1984 1 year ago
Kanumba. You are Great My Brother. You are doing great. I love you role in our country.
ejkwayu 1 year ago
I am very proud of u bro. I am a Tanzanian and feel very glad when my fellow Tanzanian comes and does something very significant like you have always done. Keep it up! Never sit back and think of what other people are thinking or talking about u. That's the stupidity that many Tanzanians still have; and that's is nothing but jelousy. Like u said, many stars can't speak English but no body talks about them. U see? Silly people are alwas looking for negatives. Keep it up bro, u r so GREAT!!!!!!!!
Ruga28 1 year ago 2
i live with chinese guys they know nothing abt english....its not such a big deal people grow up!!!!!
MbLaU84 1 year ago
Here in Lamu Mombasa, every one is talking about Kanumba movies, they like them so much. Are you from Tz do u know Kanumba, I like his way to act, I like him,That is how they express themself, keep it up.
aeiou12381 2 years ago
keep it up.
aeiou12381 2 years ago
Big up Kanumba, I thank God for you to born in Tanzania, keep it up. U a blessed,
aeiou12381 2 years ago
watu washamba wanaona kuongea kiengereza ni dili kumbe wajinga tu mafala hawana mpango hongera Kanumba zidisha kiswahili hata kama unajua kilugha cha mama tu bomba, kama ulivyosema koffi kizungu hajui na wala hajali na mambo yake yapo juu, poa moto.
claramodee91 2 years ago
we love you and so proud of you and keep it up , after all dnt worry abt english sisi wote tunaongea broken bro but keep working hard . love you acha wachonge wanaochonga ni wivu tu unawasumbua
TheZahrun 2 years ago
pole baba utafanyaje sasa ndo ishatokea.....usife moyo. We love you
tzpamoja 2 years ago
pole kaka mwenyezimungu akusaidie usijali kua ao wote wanakucukiza binadamu sio watu kaza moyo.God bless you. tunakupenda tena sana.
nihakatia 2 years ago
kANYUMBA U ROCK MAN ........wabeja sana ..
joshxbino 2 years ago
da kaka we. jamaa angu ukiwa star mambo ayo ni yakawaida tu. kuna wale wananyodo kibao. yani imeeenda mpaka ikapita na nyodo iyo< eeh. jamaa ilove your acting man. babu yangu alikuja juzi tu akaleta movie kazaa kama family tears man the best tanzania movie i have ever watched. nanyingine kazaa. kaka yangu mwangalie britney spears uku america da. na watanzania wenzangu tu wa encourage watu wetu wanao itengeneza na kuipa inch yetu sifa nzuri. God bless.
shaurialex 2 years ago
Kanumba kwani wewe unashida gani? Temana nao bwana.Mimi nakupenda kwasababu una elimisha jami sio kwasababu
Ya chingeleza baba. Tukitaka wanao jua chingeleza , wanaishi marekan sio Tz
Jambo lingine nihivi nasisi tunaishi marekani
kinatushinda kaka.Jipe mwoyo .ninge jua
Namba yako nige kupigia .
fabrice520 2 years ago
kanumba wewe usimind piga mzigo achana na wabongo nuksi tu we still love u
binalliy 2 years ago
we tanzanians are born haters man never want to see people succed, fcuk dawg u atleast tried 2 stand out in the crowd bt wer r u haters....tokin 2 urslvz..fcuk dts man stop hatin nd appreciate, he might nt knw hw 2 speak well tamed english bt son he is tryn, he deserves a credit nd he z not shy about t,so kanumba ol da best son.....represent...........nd fcuk ol of ur haterz
chiddysparxx 2 years ago
yeah, i dont f**kn know what difference does it make? those are the problems we have, as tanzanians we should be proud of ourself, just having a rep to go beyond and wave our flag. Those m****rf***ers who pulls those critics are more likely to be as dumb as hell. so big up kanumba, and knowing western linguo is some sort of a choice and another form of imperialism, do they have any interest in speaking fluent swahili?? so shut the f**K up and let it slide, .
ndazib 2 years ago
umefulia eeh?
ferdcoast 2 years ago
TAbia hii iliyojengwa na watanzania ni uswahilli....atelast mwenzetu kanumba kafika hapo...watanzania watakaa wakiponda ovyo bila lengo na haitowafikisha popoteee.....With every life of a succesful person lies a pack of haters
747makaveli 2 years ago
watanzania wengi tunao huo upumbavu wa kutothamini kitu chochote cha nyumbani! pole kaka kanumba!
pilotaani 2 years ago
Chuki binafsi izo jamani.. Ndigi yetu huyu kajitahidi..Kanumba usijali wanadonge hao watu..
Baby2890 2 years ago