yani sijui nikucfu vipi bora nikupe tajilausanii bora duniani
kizungu09 10 months ago
nyimbo nzuri sana isha wa zamani sio sasa mashauzi!!!!!!!!!!!!!!!!
TheMarveller 10 months ago
aisee jaman naipenda sana hii taarab...ila dahhh kwanin ipo nusu yan haijamalizika had mwisho????????????????
MrMedy86 1 year ago
Comment removed
mavinga 1 year ago
pangeni mupangayo hayanifiki haahaaaaa mtachoka.
shinonish 2 years ago
NICE SONG HOT VIDEO
Fatushka 2 years ago
kiroboto ana mamabo
caglar5 3 years ago
Aaaa Naipenda sana hii nyimbo. Binadamu siku zote tunatendana mabaya bila kujua subuhana ndo mpanga yoote. Hayawezi kukufika adi mola apange.
likedatshorty 3 years ago
kuna mtu yoyote anayo jua nyimbo za taarabu mpya...
sophiamophia 4 years ago
Nyimbo mpya ya Sabah Salum "Fimbo ya Mungu" booooomba sana
Hiyo melody shwari kabisa, sauti nazo nyororo kisawasawa.Mdundo nao wairusha roho yangu. nimejibandika kwa taarab na kamwe sitobanduka
Mi ni mkenya halisi na huu muziki laini wa taara b hunijaz vilivyo. Napendelea sana kunjienjoy nao wakati wowote ule.
besaffy 4 years ago
Tupo watusikiya elaaaaaaaa?
phatush02 4 years ago
Asante sana kwa mdundo huu safi sana. Mi hapa ni mtoka Kenya, nasi pia twafurahia mziki wa Taarab.
suctionpower 4 years ago
big up Jahazi Modern Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Olduvai Gorge,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
tanzanianboy 4 years ago
napenda taarab sana...
rudazik 4 years ago
keep it up more vids very nice
bigpimpcmax 4 years ago