Added: 2 years ago
From: Gregbeny
Views: 6,806
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (15)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • bwana yesu akubariki.

    

  • Comment removed

  • @Benaih Sasa mbone munam pinga Hamisi, basi mufuat testmony ya Adam Haji Mohammed, unajua ni watu ambao waish pamoja lakini testmony ya Hadji Hamisi na ya Hadji Muhammed bina fanana, mukubali muokoke mutoke kwe iyo Sanaam allah please, muombe Mungu awasaidie mujuwe na muamin ukweli.

  • Comment removed

  • @da2faithful Bwana Yesu asifiwe sana!! ndugu yangu da2faithful unadai wewe ni mwarabu, basi kamsikilize mwarabu mwenzako Father Zakaria Botros anaujumbe kamili kwa waislam wote. Yesu anawapenda waislam na wanadamu wote ndio maana alitufia msalabani ii tuokolewe. Yesu ndio njia ya kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa Mungu pasipo njia ya Yesu. Mbariiwe sana ktk Kristo Yessu Amin.

  • Comment removed

  • Bwana Yesu, tunaomba kila sikio litakalo sikia hushuhuda huu wa Dr Hamis Hussein, uwatakase na kuwaokoa kwa damu yako takatifu. Amin.

  • Nyie Waislamu nyamazeni! sio wakristo wote hawana akili. Huyu anawafanya watu wajinga kwa sababu ya njaa zake, na alivofanya hivi ni bora, kwani hawa nduguzetu hivi ndivo wanavofundishwa na wachungaji zao makanisani, sasa kidogo akili zitafunguka waje kupata: ukweli.ning.com

  • Comment removed

  • tangu lini mchawi akawa muislamu?

    tangu lini kaburi la mtume Mohammed (saw) liko makka? kaburi la mtume liko Madina!!!

    eti waislamu hujigeuza mapaka? wachawi wanaofuata majini ndio wenye kufanya hivyo. Na haya anayoyazungumza paul ni yale maamrisho yaliyokatazwa na Mwenyezi Mungu, kwa paul alikuwa akiabudu majini.

    waislamu wanamwabudu Mungu mmoja.

    someni Quraani yenye tafsiri ya kiswahili mujue zaidi na utapata majibu yote.

    mimi ni mwarabu na paul ana tafsiri kiarabu makosa. ana lengo baya

  • Kama ndugu yangu alivyo sema, wewe orthansio ujuwe kwamba uwezo wa Yesu ni wa ajabu. Sijui kama wewe nimuisila au. ukiwa ni muislam, Hivi unakaa tuu bila hata kujua nini unakifuata katika dini hiyo. Kinaco shangaza wewe ni wa kwanza kurusha mdomo wako. Inawezekana bado Mungu hajamaliza kutoboa siri ya kiislam . Yeye atazidi kutoboa siri hiyo, halafu wewe utazidi kupinga, na kutukana kila mara Mungu anauonekanisha ubaya wa uislamu.

    Poleni sana Jamani !!11111 Ubarikiwe !

  • Comment removed

  • wewe orthansio mbona unaongea kwa jazba,unajua truth hurts na inakuuma sana ila kumfikia dr paul huwezi.simtetei ila kama unaona ni muongo basi tupe ukweli wake naona umeropoka tu bila kutupa strong and sounding reasons as to why unasema ni muongo,wewe ndio muongo na kama sio muongo basi rudi uandike ukweli wake,hilo moja mbili unamhitaji YESU sana kuliko unavyodhani maana wewe mwenyewe unamatatizo makubwa sana hapo ulipo na unajua mwenyewe kula unalifanya huliendelei au uongo.

  • Comment removed

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more