Mashallah! shukran apewe mola wetu, Bi huyu amejaliwa kuimba Alhamdullillah. Maana nasikia nafsi yaani roho yangu inachechemea pale tu anapoanza kuimba....
Bless her, this is what I call an outstanding performance....Taaraab... jamani raha............
WACHA TU NYUMBANI NI NYUMBANI ASIKWAMBIE MTU i missssss ZNZ
ammi007ful 8 months ago
wallahi tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tunnaika 9 months ago
Raha juu ya Raha
kukumdogo 2 years ago
Lete raha jamani!!!ndo uhondo huo kutoka mwambao!!mavitus na majambos.
omukolongolo 3 years ago
Asante wote wanaohusika.Fatma Issa.
Generalidibabu 3 years ago
Mashallah! shukran apewe mola wetu, Bi huyu amejaliwa kuimba Alhamdullillah. Maana nasikia nafsi yaani roho yangu inachechemea pale tu anapoanza kuimba....
Bless her, this is what I call an outstanding performance....Taaraab... jamani raha............
blackOxford 3 years ago
kweli hayo
kishom73 4 years ago
Shukrani sana..
amshy70 4 years ago