Kwa kuwafuatilia kwa makini nimewagunduwa kuwa ninyi ni Wanauwata maana mavazi yenu na ujumbe wenu ni uleule wa kutubu dhambi na kuziacha(Yobu 28:28;Methari 28:13;1John1:5-10;2:3-6,9-11).Na atendaye dhambi ni wa Ibilisi kweli(1John3:4-10)maana upendo ndio unaotimiza sheria zote(Rom13:8-10).Alafu roho itendayo dhambi ndio itakayokufa(Ezekiel18: 4,19-24).Nikumbukeni jamani nami nipate ushindi juu ya maovu yangu yanayozidi kuchipuka toka ndani yangu(Mark 7:20-23)simbananiyearon@yahoo.com Canada
This has been flagged as spam show

Mwanauwata 10 months ago
Kweli kabisaaa!! Saa ya Wokovu ni sasa!
rugarabamu 3 years ago
Nikweli hakuna awezaye kupingana na nguvu za Mungu
wokovu bombaaaaaaaaaaaaaaa!
lilombero 4 years ago