Waliojihami kwa chupa za maji? Kujihami ni kujilinda dadangu. Mtu anayevamiwa ndiye anayejihami, sasa walimu wanajihami vipi? Hata hizo chupa zao za maji, kwani ni silaha?
buashraf 3 years ago