Mwenyezi nijaalie nguvu na roho ya ujasiri, Ili nami niweze amini kesho bora ya utabiri Kesho iliyonawiri, hii kesho ya we na mimi Umeshafika usiku mnene na kesho haina dalili Mama, mbona ngombe wa maskini hazai Mbona duki akienda ofisini havai tai Nataka mini ila naamini haifai kwanini mtoto wa jirani asubuhi hamimini chai Maisha yangu yana ubora mwenzangu ana ubora gani hata nikiwa bora nani atakaekua bora nami sina roho ya upinzani, na roho ya ushindani mwenyezi nibarikie kesho bora..
'............sina roho ya upinzani, na roho ya ushindani mwenyezi nibariki''
cayman119 1 month ago
Uyu jamaa ni noma!!!! MAXIMUM RESPECT!!!!
Pharoh264 4 months ago
one he is my favorite raper from tanzania.
kite414 5 months ago
One inabidi udondoshe track mwana...tumekukubali kwenye Black on Black now we hungry for more
bugi78 7 months ago
bugi78 7 months ago 4
this z wizz269 au twitter name code:x0110, like i said fid u doin gud....this guy neva heard his songs but he is gud!!! ana track gani alizotoa
nosferatu269 7 months ago
mbona sauti iko chini sana si kama zingine
kmtenga 7 months ago
hiphop to tha fullest,Cheusi dawa Tv all day!
hoodpixx 7 months ago
One The Incredible is da best
Mtznajua 7 months ago