Sisi wakenya tunastahili kukubaliwa kuwachagua maafisa wote wa utawala papo hapo mashinani badala ya kuwatuma maafisa wa utawala kutoka Nairobi. Yaani mapisii, madisii na madioo hadi chifu ni lazima wachaguliwe na wananchi. Ni lini tutayang'oa mizizi haya yaliyowekwa na wakoloni?

HeshimaJameni 2 years ago