Added: 3 years ago
From: idamawatu
Views: 24,482
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (21)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Habari ndio hio!! nice

  • noma ime2lia hivo

  • penzi la kichaa na la mwenye ukimwi ni zuri mno.hii ni coment ya mwisho kwa mwaka huu endeleeni kuweka vikao wala haijalishi.

  • mgonjwa wa kichaa akikutana na mgonjwa wa ukimwi yaani raha tupu,cha msingi maelewano,mimi nimama na yeye ni baba byeeeeeee...... its my last coment 4 this yr nakupa msamiati ufafanu neno (kichaa)majibu yake ni mengi mie naingia kizani sinto patikana tena kwa hiyo kama unaakili achana na wendawazimu.

  • ukweli ni kwamba mimi ni mama na yeye ni baba,namuhitaji yeye ilo muelewe mi nampenda sana.vumi ulitakiwa upate award moja kwa ajili ya wimboo huu,nakutakia kila la kheri kimaisha.

  • nimeamini penzi ni bonge la issue,basi msinijengee hoja wadau ukweli anaujua yeye na mie.sina muda mwingi nashuka bongo zueni mpaka mchoke.kitendo cha yeye kunisamehe mie its like golden chance never come twice thanks mdau uk.

  • mapatano yetu na baba watoto wangu hamto yaelewa,kazi kwenu wambea tumejifunza kutokana na makosa.hata akiwa na wanawake 100 mie nipo hata akiwa na watoo 1000 hainisumbui kwani yeye ni baba na mie ni mama mungu anaujua ukweli maneno si mkuki msemayo sishtuki,nampenda sana jamani kila ndege hutua kwenye mti aupendao hata kama kuna miba na majani kibao.

  • Comment removed

  • mszilfa nashukuru kwa kumuingiza mungu kwani yeye hua yuko fair kwa viumbe wake,

  • Comment removed

  • yaani nimejitahidi mpaka nimempata baba watoto wangu,ambaye tulipotezana kwa miaka kadhaa kwa ajili ya wimbo huu asante sana vumilia kwani nilikua naiona dunia si yangu bila yeye.

  • salma kila la kheri na baba watoto wako.

  • asate nategemea na wewe pia yani

  • jamani nasikilaza hii yinbo kila dakika yani hila sichibi maneno haya nimatamu sana,kweli mimi ni baba na we ni mama ,wauhhh

  • nyinbo unamaneno mazuri sana,umetulia

  • i love the music. ahsante sana wanamuzic wa tanzania. god bless you.

  • this song is touchin, mapenzi ya dhati

  • i like it...

    a pity that me cant translate it into german...

    i hope that guys and girls never forget their

    roots...

  • jaaamanii !!!! nyimbo taamu sana tena inaladha kweli mimi nimama na yeye ni baba woow nzuriy sana hongeriri sana

  • Safi sana. Hayo ndo mambo!

  • what a lovely song <3 but the end was kinda funny lol keep up tanzanias we r the best! ;)

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more