Msanii kigogo ametoweka. Nyimbo zake pamoja na msanii David Kibe zitazidi kutanda kwa muda mrefu hata baada ya kifo chake. Natumai kundi la Maroon Commandoes litazidi kuburudisha wakenya na kufuata nyayo zake Habel Kifoto. Mola na airehemu roho yake Kifoto.
Mola amuweke pema peponi
kigumba777 6 months ago
Msanii kigogo ametoweka. Nyimbo zake pamoja na msanii David Kibe zitazidi kutanda kwa muda mrefu hata baada ya kifo chake. Natumai kundi la Maroon Commandoes litazidi kuburudisha wakenya na kufuata nyayo zake Habel Kifoto. Mola na airehemu roho yake Kifoto.
Rigegu 6 months ago
"uvivu ndio adui wa ujenzi wa taifa" I am still waiting to see anyone who used to love that song in the morning.
Asante Lolani kwa tufahamisha.RIP Kifoto
karuitha 6 months ago
Mungu amuweke mahala pema peponi.
thuraku 6 months ago
Lala salama ndugu,Lolani usijali Kifoto ashakaribishwa na mwenzetu Billly Omala na Ike Mulembo,ndia ni moja tu ndo maisha.
wanzueni 6 months ago
He was an entertainer...RIP.
siasabora 6 months ago
RIP Mr. Habel Kifoto and cheers for the Music bila jasho. Ijapokuwa watoto hawakukubaliwa.
Savai333 6 months ago
Lolani, nice presenter! 5 stars! Long live Kenyan music
Roddzz 6 months ago
R.I.P :@3:32 lovely song,not sure its kitaita or kigiriama.
rashaenka 6 months ago
poa kabisa lolani,ngoma inakumbusha mbali sana,uvivu ni adui wa taifa kweli
merkeju 6 months ago