Added: 3 years ago
From: Kisombola
Views: 337
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (3)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • watu huku canada wananza kuwa na système ya ba singles moms (singo) yaani mama na watoto ila hana bwana ,alors que iko na bwana pamoja juu wapate pesa nyingi na leo hiyi muwale watu munatka wamoja wanaanza kushitaki ku departement inayo husika na njoo kutowa siri, resultats watu wanaanza kuhamahama juu siri zawo zisijulikane ,hiyo si vizuri juu kuhama hama mu anda kunarudishanaka nyuma,juu uko unaanziliya maisha upya mufasi mupya,dites-moi siku gani hum-bondo atawaza kujenga ubémbéikoparesseux

  • good job brother showing those guys maybe something worth and benefit to our people of bobémbé can happen .

  • unaona problèmes za wabembe hawataki hata kusoma na kuona vyenye unafikiya eko kule ,sijuwe kama wanawazaka kuwa kanada njoo nini? wanakaa wanasahabu Fizi , ubishi na matusi njoo wanakaliya huku canada ,na ku tangaza grades académiques zawo tu, mimi nasema niko canada na nimetumika kazi ila sikubaki napesa yoyote juu huku pesa inaenda kwenye taxes impots na kama watu hawafunguwe macho tutakosa ngambo mbili canada, na fizi, mwenye anapata kidogo anapashwa kushuka fizi alime na ajenge mayele iko.

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more