Added: 4 years ago
From: ramso007
Views: 42,714
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (17)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Hahaha...the lyrics

  • acheni jamani kunga'ng'ania vya watu, au mnaliweza bifuuuu!! msione vinang'ara mkatamani, vimeshughulikiwa jamani, heeeeeeeeeee jamani rahaaaaaaa

  • Bi Khamis mrembo jamani....she's my type. Tafadali cheza tight marking kwangu...hehe

  • I am amazed by this song and as fan of taarab whom I am, I can only savor.

  • Im from Somaliland and I like the music. I dont understand Taarab/Swahili music but this sister has a great voice.

  • where in the map is somaliland ,,,do u mean somalia?

  • i believe he/she means somalia.

    somaliland is part of somalia

  • Ramso weka hio party two basi!

  • Mlimbikizie mapenzi ela usisahau washatwambia wazee wetu "apendwaye akijua hakosi kujishauwa".

    Fahamu "Fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi". Kazi kuomba Mngu asalie kwako kwani kwenda kwa mwengine si kazi. Kutanabahi unajikuta huna kwani "Dunia khadaa ulimwengu shujaa!" Omba kheri!

  • Swadakta buashraf! mbona maneno makali mwenzangu? lakini wazee wametwambia mambo mengi! "Mfuata nyuki hakosi asali,Kupotea njia ndiyo kujua njia" kazi unayo!

  • Umegonga ndipo wala hukusaza kitu! Hata hivyo wazee hao hao wametwambia "fuata nyuki ukafe mzingani!" Lakini husemwa nzi kufia kwenye kidonda si hasara. Upo?

  • Mlimbikizie mapenzi ela usisahau washatwambia wazee wetu "apendaye akijua hakosi kujishauwa".

    Fahamu "Fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi". Kazi kuomba Mngu asalie kwako kwani kwenda kwa mwengine si kazi. Kutanabahi unajikuta huna kwani "Dunia khadaa!"

  • Sauti inamtoa pweza mwambani

  • eeehe! kumekucha na jogoo anawika! mambo gani hayo ya kuporana? eebu shoga, msute!

  • kweli kama rashisi chuma chako utumie...... what else???

  • hmmmmmmmmmmmm hiyo kiboko chao..maneno

  • Haluuuuuuu. Kwa huba zangu hajiwezi starehe mara kwa maraaaaa. aaah uto wahi kunipora shoga nimekaza uzi.....

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more