Added: 4 years ago
From: Munishi2
Views: 12,540
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (32)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Nilisema uchaguzi urudiwe. Wengine hawakunielewa. Hiyo ndiyo njia pekee kumaliza mzozo KENYA. Sawa WAMEKUBALIANA kugawa madaraka nusu kwa nusu. Mbona bado Kibaki anangangania wizara nyeti? Kwani kuwapa ODM wizara ya fedha au ulinzi kuna ugumu gani? Si bado wizara hiyo itakuwa ikiongozwa na Mkenya? Au PNU ni wakenya kuliko wengine? Nilisema namlaumu Kibaki, bado nitamlaumu kama Kenya itarudi ilikotoka. Najua PNU watasema kitakachotokea kilikuwa kimepangwa.Mbona PNU wanapanga kuhujumu makubaliano?

  • Kibaki aliwatapeli Wakenya. Alisema elimu ya sekondari itakuwa bure, kumbe ulikuwa uongo apate kura. Alipokosa akatumia ECK kuiba kura. Wazazi tumeshangaa kukuta karo ni zaidi ya mwaka jana. Mfano LIMURU GIRLS SCHOOL, mwaka jana tulikuwa tukilipa karo 45,654, wakati mwaka huu ambapo ilitegemewa karo ingeshuka au kutokuwepo kabisa, badala yake wazazi wanalipa zaidi ya 50,000 Binafsi nilipoenda kulipa karo kama inavyoonyeshwa kwenye ratiba yao 43,695, walisema bado 7,000 za tuition ya lazima. Ona

  • ndiyo alisema itakuwa bure lakini sidhani ataweza kuwakilisha ahadi yake sasa kuna mtu mwneye power kama yeye na wote wawili kuitikia mwingine apewe sifa juu ya (fk this) they both want to be praised and odinga has probaly a diff idea on where the money should go, he wants to oppose the president so that he wont seem like he just has a name and no power maybe he will be more fore free health care or more schools,

    part 1

  • part2

    and u saying kibaki was the main reason for the violence is pretty retarded, this violence was strategized its not something that just happened and if u look at the way things were done u can actually see what am talkin about but u will probably wont see it and ur alleged'views' are based on tribe preference and not leadership ability,i mean why do u want to elect to president someon who promised to wipe out a whole tribe and was in a coup, pls keep ur unetical reterded views to urself

  • Mnischi ni mutazania ama ni Mkenya ama nini? Nini inasubua huyu Mchunganji? i rember his song penda Adui yako n now he is in politics leave politics go on with preaching and songs

  • Kibaki amefanya sawa japo kachelewa. Haikuwa lazima watu zaidi ya elfu moja wapoteze maisha yao ndipo huyo anayejiita msomi wa MAKERERE angamue kwamba ni ghali kuutetea uongo. Zaidi ya 1000 wamepoteza maisha kwa kile wadadisi wanachokiona kama mbinu ya Kibaki kuigawa Kenya katika matabaka ya walionavyo na wasokuwanavyo. Matajiri wachache walimtaka aendelee kukaza uzi, mpaka walipoona maji yanazidi unga wakalegeza kamba. Bado tunamtaka Raila asilipize kisasi. Watu kama Karua awasamehe tu.

  • Lakini tunampongeza KIBAKI hata kama. Sasa ni wakati wa kufanya kile alichokuwa akitanguliza kabla. Kuponya majeraha ya Kenya na kuwarudisha watu waliotimuliwa makwao. Isingewezekana kufanya hivyo, japo Kibaki alijidai angeweza. Hatujali nani ana mamlaka gani, ila wanasiasa wajue huu ni mwisho wa kucheza na maisha ya watu popote duniani.Jamii ya kimataifa iko macho. Hatuwezi kuwachia wanasiasa Kenya wachinje wananchi kwa maslahi yao kisiasa. Haiwezekani, tunalaani polisi waliowaua wakenya bure.

  • Wacha udaku!!

  • Kufanya kazi na MEDIA ni kichefuchefu. Fikiri mwanahabari ameenda Naivasha, Amekuchukua picha za Wakikuyu wakiwachinja watu wa makabila mengine, analeta picha hizo kwa mhariri, na mhariri anasema hawezi kuweka hewani. Mbona huyo mhariri hakwenda Naivasha ili achukue picha zinazofaa kuwekwa hewani? Nani alimpa mamlaka ya kuamua nini kinafaa na kisichofaa kuwa hewani?? Bora niwe hapa kuliko kuandikwa na MEDIA kama NATION.

  • are u fuckin serious, are u totally ignoring the fact that lou's and other tribes attacked first why would kikuyu attack if kibaki already won, they attacked as a self diff, u dumb gay ass didnt, do u ask urself why ur tribe attacked another tribe  just because someone from that tribe won, they didnt steal or help, tell the tribe that attacked first to attack the president not the tribe his from.listen kikuyu are hard working pple except for a few but look at the rich corrupt men,biwot....part A

  • moi...other names i dont care about

    we have murungaru. am tired of stupid bitches like u accussing other tribes. kikuyu are hard working tribe and many of them are rich as a result. pple like who wanted to air slaughter video are pple who fueled the clashes i mean would u want to see someone from the same tribe as u killed? No but u still wanted other pple to attack kikuyu u are pretty stupid trying to fuel violence because u saw one guy getting killed by kikuyu,what about the killed kiuks?

  • No sound but the Message is Kibaki MUST change his address to P.O Box OTHAYA!!!! Enough of HIM

  • Ndugu zangu nini baya na nyinyi? Ni Wakikuyu ama ni Utajiri ama nini? is tooooooooo much situijenge Taifa letu la Kenya tunalolipenda tuache Ukabila tufanye Biaschara pamoja ama sio ndugu yangu

  • no sound??????

  • Yalikuwa madukuduku, Kibaki akayafanyia kosa la kwanza kuiba kura, likazaa kosa la pili watu wasohusika na wizi wa kura wakahamishwa makwao, wengine wakauawa kinyama. Haikuishia hapo, Wakikuyu nao wakafanya kosa la tatu, Kuua wajaluo NAIVASHA wengine kwa kuwachoma moto, na kuwahamisha makabila mengine kwao. Sasa kuna maongezi ambayo yanapaswa kusimamisha makosa yasiendelee, siyo kuhalalisha kosa la kwanza. Kama kuua wote ni wauaji.

  • MEDIA in Kenya knows that Kibaki and Raila are not talking. Instead of telling Kibaki to vacate state house, they are talking about Raila to share power with Kibaki.This is the way out REPEAT ELECTIONS, AND LET THE VOICE OF THE PEOPLE BE HEARD. Anything alse is wasting of time. Let the power of ballot decide. Not the power of bullet like Kibaki wants us to believe.

  • Kibaki digging in for war. He does not want to solve this politically. This is what he want. WAR. Bussy forcing Kikuyu to go back to Rift Valley, while chasing other tribes out of Nyeri and Central Province.

  • KBC mnafanya kazi nzuri sana. Kuwahabarisha watalii kwamba KENYA HAKUNA MATATA. Tena wakati wa machafuko yaliyotokea baada ya Kibaki kuiba kura, KBC mlikuwa mnasema mikoa yote ya Kenya kuna amani. Hiyo ni kazi nzuri. ENDELEENI HIVYO HIVYO. Na kuwavuta watazamaji onyesheni mipira yote duniani. Lakini mpira ukiisha, watazamaji wanahama KBC kutafuta ukweli kwingineko. Poleni

  • We know. A Kikuyu is a Kikuyu. when he or she is a president, he become Kikuyus President. When he or she own a Media house, or become a jounalist, He is a Kikuyus jounalist. SHAME ON NATION MEDIA for being a Kikuyu Media house. Hata LONDON utawakuta na ushamba wa kutojua kuchangamana na watu wengine. Wanajisemesha hawataki kuwasikia wengine wanasemaje. Ndiyo maana wakale waliposema wawatimue Eldoret, wao walikuwa wakisikiza kameme FM ikiwaambia KIBAKI ATABAKI RAIS wapende wasipende.

  • AIBU KWA HAO WENGI WASIOTAKA KUHUSIANA NA WAkENYA WENZAO. lAKINI KUNA wAKIKUYU WAZURI PIA. NILIPOKUWA NIKIFANYA KAZI RIFT VALLEY KENYA NILIWEZA KUWA NA MARAFIKI WAZURI WAKIKUYU. MALI ZAO ZOTE WALIKUWA WAMEZIPZTA KUTOKANA NA JASHO LAO. HUZUNI NI KWAMBA WALIFUKUZIWA MBALI NA MALI ZAO KUTEKETEZWA AMA KUPOKONYWA. HERI KUPENDANA NA KUHESHIMIANA.

  • You can not steal polliticaly and hide in the law. This is what Kibaki is doing. "Siasa siyo taasisi, lakini wanasiasa huunda taasisi." "Wabunge hutunga sheria lakini haiwachagui" "Siasa ndio huzaa wabunge ambao hutunga sheria." "Makosa ya kisiasa lazima yatatuliwe kisiasa." KIBAKI ALIIBA KISIASA NA ANAJIFICHA KWENYE SHERIA. HAITAMSAIDIA. AJIUZULU SIASA IANZE TENA. SIYO KUWATUMA WATU MAHAKAMANI.

  • Acheni kuuma midomo. Mwambieni Kibaki ukweli Kenya ipone. Urais wa Kibaki kwa sasa una dosari. Kibaki ni babu. Akijiuzulu Kenya ipone atapoteza nini?? Uchaguzi ukirudiwa Wakenya wataamua nani awaongoze. Wanaweza kuushangaza ulimwengu kwa kutowachagua RAILA wala KIBAKI. Kibaki ajiuzulu urais wenye utata. Huo ndio msimamo wangu.

  • Wakenya mkimwacha Kibaki atumie ujanja wa kuiba kura abaki madarakani, Hakuna siku kura itakuwa na maana Kenya.Machafuko yatatawala kila uchaguzi utakaofuatia huu wa 2007. Lakini Kibaki akijiuzulu, na uchaguzi mpya ukafanywa, Ugonjwa wa machafuko utapona Kenya.Vinginevyo mnalihairisha tatizo

  • Sijalipwa na yeyote kusema haya. Nilisoma fikra za Kibaki nikajua atajiweka madarakani kwa nguvu. Ndiyo maana nilitoa video ya wamasai wakieleza jinsi itakavyokuwa. Ilipokuwa kama nilivyotabiri, sasa ni lazima niseme ukweli hata kama unauma upande wa Kibaki. Na ukweli ni huu. KIBAKI TUNAKULAUMU KUWAFANYA WAKENYA WAUANE. JIUZULUU!!!!

  • I was for Kibaki "TENA" but not any more. I wanted him to win not to use rigg. Now that he has rigged using ECK,I am ashamed. On top of that Kibaki is killing opposition MPs. SHAME ON YOU KIBAKI. I hate you.

  • About America and Britain, to Kibaki they are nothing. even Pastor Munishi is nothing to Kibaki. But if i were to meet Kibaki, This is what i would have told him. "Raila a Luo said Kibaki a Kikuyu tosha. Why is it so hard for Kikuyu Kibaki to say Luo Raila Tosha??????" Now you said HATOSHI, Kenyans said ANATOSHA. Why use ECK to rob Kenyans of their president????" That is what I want to ask Mr. Kibaki.

  • Nation Media shame on you. What is happening in Naivasha is not what you are telling Kenyans. This is ugly.Alljazeera was on Naivasha story when you NTV swich them off. Why use their signal when you dont want them to tell Kenyans how Kikuyu are killing luos in Naivasha??

  • Kibaki does not want to talk.The man cares about his presidency, more than lives of Kenyans. To him he is talking to see if he can talk. Forget about Raila and Kibaki shaking hands. The body language speaks louder than words.Preasure from America and London is nothing to Kibaki. The man believes that he can rule Kenya using his own Kikuyu tribe. ODM and Raila have no choice. Lets believe so. If not, we are in for a big thing. God Please dont let this happen.

  • Thanks Mr. Mutua for reminding me that I have somewhere to go. My worry is about Kikuyus who are Kenyans in Kenya and Kibaki has made their visas expire. Let Kibaki step down,and their visas will be renewed. By Kibaki saying he will defend them, He is making them refugees in their own country.

  • Kibaki aue milioni bado nitamwambia atoke ikulu kwani hakushinda uchaguzi. Aue Media bado sauti ya upole itamwambia Kibaki tunakulaumu kuwafanya Wakenya wauane. Wakikuyu wanatakiwa wamwambie Kibaki aache kuwachonganisha na makabila mengine. Hatakuwepo hayuko na sioni akiwepo kuwasaidia.

  • Kibaki can kill one milion, I will tell him to vacate state house because he did not win the election. He has killed the MEDIA in Kenya, But a small voice from here will tell him He KIBAKI is to blame for the mess Kenya is in.

  • Iwant to meet Kibaki and tell him he can finish this war by saying RAILA TOSHA. Then meet Raila and tell him to say YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YALIYOPO NA YAJAYO.

  • Kibaki invited Media in State house, tell them what to write, Keep them off from asking him questions, Instead offer them Tea. The next day wahat did MEDIA do?? They report what they were told by KIBAKI. What were the MEDIA TOLD?? Lies.That Kenya was not on fire, and

  • Police in Kenya have order to shoot and kill. This is war. Raila should think again.Kibaki has declare war. He lost election and not ready to step down. You don't fight with stones while Kibaki has gun and live bullets. Raila has two options. One:Train solders to fight with Kibaki solders. You do not have, ask for help. 2:Let Kibaki be in power,and plan what you can do next.

  • But now every body knows that Kibaki rigged himself to power. Or ask Tanzania Goverment to give you solders. But remember even CCM is in power throw rigging.Or just live it to God. KIBAKI HAS SLAP YOUR RIGHT CHEEK, GIVE HIM THE LEFT ONE.

  • The mistake Raila should not do, is to accept any position in Kibaki government. That one is to let down more than 1000 people who were killed by Kenyan Police. To me Police did not have to kill their fellow Kenyans just because they are protesting against Kibaki who rigged elections and they know it.

  • I dont hate Kikuyus.I am a Chagga. In Tanzania we are KIKUYUS of that country. Imagine a Chagga President trying tell chagga people that they are more Tanzanian than the others. He will be making more enemy for them, and he will not be there to defend them.

  • One day God willing i will be Tanzanian President. I will not do what Kibaki is doing in Kenya. You dont make more enemy for the people who are hated simply because they are hard working.They can do without your help(President)

  • SOME PEOPLE ARE SAYING "Kibaki has become a Kikuyu tribal chief openly supporting his tribe.Forget the man we voted for in 2002. The current one is a loof,withdrawn and distraughted. Shame." BUT THERE IS A CHANCE FOR KIBAKI TO LEAVE A LEGACY. LET HIM SAY RAILA TOSHA, AND SEE.

  • munishi i cannot get the volume in your video clip post it again i want to here your views coz you are a great inspiration to me. please repost it again coz there is no volume in your clip.

  • I am trying to post it again. Internet speed is very low in Nairobi. This one took me 4 hours to upload. What am saying is Media was used to lie. CITIZEN NTV, K24. KBC, They were used by KIBAKI. How can FOUTH ESTATE take part in making Kenyans kill each other?

  • This is what i want MEDIA to do. They know the truth, they should stand by it no matter what. Let them tell Kibaki to step down. He is over 70, let him leave united Kenya. people will respect him for that. But what KIBAKI is doing now is to undo every thing.

  • I grew up listening to Munishi and I know Munishi cannot lie. If Munishi says Kibaki stole the votes, then believe that Kibaki stole the votes. US says let Kenya solve this problem in their own way. Well, our way of dealing with thieves is either crowd justice or tire roasting. So can Kibaki choose between the two because it's about to get ugly.

  • Armed Ugandan soldiers are allegedly crossing into Kenya.

    Busia residents told The Sunday Standard that some Ugandan troops have been sighted in town and in Port Victoria along River Suo.

    "They are scattered all over along the borders with some patrolling along Lake Victoria," said a secondary school teacher in Budalang'i District. This is terrible. We are in for big thing when Tanzanians solders will cross the Namanga border

  • you need to repost this. the voice/ volume is off thru the whole video.

  • The United Nations has refuted claims that it supported President Kibaki's victory as alleged by a leaked memo said to have been written by World Bank.

    In a press conference, the UN denied that it had data that the World Bank used to determine that "Kibaki win was correct".

    UN country Director, Ms Anne Tibaijuka, said her organisation did not observe the elections and had no data to assist it make a standpoint over the results

  • Kenya on fire, Media to blame. Some Media houses took sides openly. That was wrong. Elections can not be free and fair when the Media is not fair. Corrupt Media projuses corrupt Kibaki who is now burning Kenya. The same Media not allowed to sho the world what is realy happening in Kenya.

  • Loading comment...
Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more