Added: 3 months ago
From: mwanakijiji
Views: 1,122
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (1)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Tatizo ulipokuja mara ya kwanza ulikuwa umeandikwa kwa lugha ya kiengereza.. Ukaenda kufanyiwa marekebisho na wadau waliagiza uandikwe kwa kiswahili lugha ambayo ni lugha mama ya Watanzania. Hapa hapataki Degree wala Diploma, Watanzania walio wengi hawajui kiengereza hasa lugha za kisheria. Baada ya kuadikwa kwa lugha ya Kiswahili ulikuwa urejeshwe kwa Watanzania ushapishwe kwenye magazeti kila mkoa kuujadili. Katiba sio ya Wadau, wanasheria wala Serekali. Hii ni Katiba ya Watanzania...

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more