Jamani Lucy, usitukatishe tamaa. Mbona wazuri bado wapo tu! Sasa Flora atueleze alimpata wapi, kwani si mambo ni kusaidiana tu:-)Dada kama ni baraka unayo. Kichekesho ni huyo anayekaribishwa nyumbani na kuanza vituko nyumbani, sasa hapo ndipo kujuta ndoa! Mungu anamipango yake mizuri sana. aaahhh!subira tu!
mziki ni mzuri sana
kamwela 2 weeks ago
hey guys,huyo mwanamke anayemkaribisha mume wake, si muimbaji wa tz tooo?, album yake inaitwa NISHIKE MKONO BWANA , plse naomba mnitafutie alafu mniambie, thx !!!!
sweetbarbie97 3 years ago
hey guys, ni nani huyo mwanamke anaye mkaribisha mume wake?, si ni muimbaji wa tanzania? , plse naomba mniambie majina ya nyimbo zake !!!!!!
sweetbarbie97 3 years ago
I think that guy is cute. poa kijana yule.
shadania 3 years ago
He is taken lol, all the good ones are taken sister!
lmashua 3 years ago
Jamani Lucy, usitukatishe tamaa. Mbona wazuri bado wapo tu! Sasa Flora atueleze alimpata wapi, kwani si mambo ni kusaidiana tu:-)Dada kama ni baraka unayo. Kichekesho ni huyo anayekaribishwa nyumbani na kuanza vituko nyumbani, sasa hapo ndipo kujuta ndoa! Mungu anamipango yake mizuri sana. aaahhh!subira tu!
ochienol 3 years ago
Direct translation hehe. Nakupenda mpenzi wangu, maana wewe ulinipenda ukanichagua niwe wako. Kukupenda sitoacha maishani mwangu wote, nitakupenda wewe mpenzi. Nyimbo la valentine hiyooo!!!
ochienol 3 years ago
Asante kunitia moyo dada!
lmashua 3 years ago
Hehe,anytime. Ila urudishe ushuhuda hapa hapa uwatie wengine Moyo. Ametuahidi atayatenda! Mapenzi tele!
ochienol 3 years ago
sawa dada naiwe hivyo!
lmashua 3 years ago
is that her husband? just curious. Good song.
shadania 3 years ago
OOH Yes that is her husband, kindly check my videos search for lucy mashua
lmashua 3 years ago