Added: 4 years ago
From: Munishi2
Views: 13,302
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (7)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • God bless you word forever

  • Munishi na nyimbo zake, hahahaha

  • Kibaki angefaa kupata funzo katika kuapishwa kwake Obama kwa kuona jinsi ambavyo watu walisherehekea si kama yako ambayo ilifanyika muda mfupi baada ya wananchi kudanganywa kuwa Kibaki ni mshindi.Bila hata hadhira mzee' uliaibisha sana nchi yetu.

  • Bwana MUUMAMDU wataka nimsifu Kibaki? Nitafanya hivyo. Ni rais aliyerekebisha uchumi. Akashindwa kuwaunganisha wakenya.Akawatenga kwa misingi ya kikabila. Akajizungushia matajiri marafiki zake wasiojua siasa. Kiburi cha pesa na mali kikaitumbukiza Kenya katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. Yote hayo namlaumu Kibaki. Hizo ndizo sifa zake. Siwezi kuongeza wala kupunguza. Hata kama nitachinjwa leo. Wachilia mbali kufurushwa. Ukweli ndio huo nijuavyo. Mwingine anieleze kulikoni nibadili mawazo.

  • Let them deport WAKI as well.

  • Be careful. they might deport u. lol

  • Kibaki akubali suluhu. Yeye ndiye mwanzilishi wa haya. Watu wanamuonea haya kwa nini?

  • Yalikuwa madukuduku, Kibaki akayafanyia kosa la kwanza kuiba kura, likazaa kosa la pili watu wasohusika na wizi wa kura wakahamishwa makwao, wengine wakauawa kinyama. Haikuishia hapo, Wakikuyu nao wakafanya kosa la tatu, Kuua wajaluo NAIVASHA wengine kwa kuwachoma moto, na kuwahamisha makabila mengine kwao. Sasa kuna maongezi ambayo yanapaswa kusimamisha makosa yasiendelee, siyo kuhalalisha kosa la kwanza. Kama kuua wote ni wauaji.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more