Added: 2 years ago
From: Tangibovu
Views: 40,653
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (31)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • kumpima Afya??na jicho kibano alichopata kabla je kama ni mgonjwa si tayali ameshaongezewa matatizo??

  • hanisi huyo mpelekeni gerezani kule ukonga abandule na ashushwe hizo epepe zake.

  • The fact the protester is alive speaks volumes about democracy and civil rights in Tanzania. Well done to all for not going down the barbaric way. BUT the policemen kicking and hurting him during arrest (he was not resisting or attacking) shows that Tanzania has still a lot of distant to travel to ensure true civil rights and civil society. As they say Inshallah-one day, one day soon!

  • Unfortuantely he slapped the only best president Tanzania ever had. I wish this guy had slapped Nyerere the dictator when he was president. But then again he would have been shot dead right there and then.

  • Well, slaping our former president on his face will never be a proper way to express individual opinions about issues facing our society. It would be better to speak other than look like an idiot to do what this full did just to bring to himself a media attention without pay. You knew exactly about the consiquencies you may have to face, but you did it anyway. Don't you have discipline? You should be ashamed of yourself

  • i will personally fuck up that dude that slapped the president! in another country that dude will not be alive today! please belive!

  • raha san akwas sababu hawa watu wezu tu, condom sio kinga ya ukimwi ukifata udini ndio kinga ya ukimwi na akija mwingine tunamzaba vibao tena

  • duuu! huyu jamaa hana heshima kabisa, anastahili kufundiswa adabu ya kutosha....kwakeli kinga ya ukimwi ni kufatilizia uislamu na sheria zake!! wala siyo kondomu...!

  • kibao kitam sana nimefulahi kabisa. sio kutokana na mada huyu jamaa aliotoa ila, nachukia sana hawa viongozi wetu kila wakipata nafasi wanatukandamiza tu. wote wezi kwahiyo mtu akimtia kibao kwa kosa lolote mi nafurahisana. nchi wangeiendesha vizuri tusinge kuwa nje tunahangaika huku

  • Kweli kabisa, wange'ongoza nchi vizuri na kutoa rushwa tusingekimbilia Ulaya kutafuta maisha....yaani ajabu leo mwaka 2009 bado kuna watanzania wanoishi kwenye vibanda vya udongo kama kuku...!

  • Ah! ingekuwa ahera tunakwenda kwa kuwachapa wengine wanaotuudhi kwa kauli zao zinazopinga maandiko, dunia ingekuwa haikaliki kwani kila mtu angetaka kuwachapa waovu aingie ahera, wapendwa ahera tutafika kwa unyenyekevu mbele za watu na mbele za mungu. sio kwa kuhubiri kndomu wala kwa kuwachapa wanaohubiri kondomu. na huo ndo maana ya uislamu.

  • Duu huyu kijana yupo more faster kuliko yule wa Bush kule Iraq. Mwinyi nae akae nyumbani alee vijukuu. Bado anataka umaarufu wa nini?

  • taarifa: huyo kijana huko rumande amepigwa viboko hadi kuwa mahututi. Ni kweli alichotenda ni makosa lakini hata yeye ana haki yake ya kibinadamu. Wanaopiga watamuua, adhabu anayopewa haistahili kwa kosa alilotenda...

  • Alivio fanya mtuhumiwa ni makosa kabisa. waliompija na mtuhumiwa lazima wachukuliwa hatua.

    informing the public about condoms in a way is an encouragement to prolong zina.

    But since we all know that our Tz brothers & sisters cant keep junk in thier pants.

    Then the govt has no choice but to inform them abt condoms so they dont get wiped of the population.

    Maybe we might get have faith & return to the merciful. :)

  • "informing the public about condoms in a way is an encouragement to prolong zina. " -- That is nonsense. People don't need encouragement to have sex. Sex is physiologically natural just as eating food or peeing is. Let's stop talking about sex or condoms and see if people will stop having sex. Watu wanajua kuna hatari ya kukanyaga miwaya na bado wanaendelea na zinaa. Unafikiri wiongozi wa dini wakikaa kimya kuhusu kondomz kwa hofu ya kuidhinisha zinaa watu wataacha kujitafunia?

  • Mbona ustadhi yuko sahihi kabisa cause hayo ni mambo ya siasa ingekua vizuri babu mwinyi aachane na siasa kama alivyofanya mkapa kwani hiyo ndiyo imemponza!!!!!!!!!!!!!! ustadhi ujira wako uko mbele ya ALLAH kwani hufanya hivyo mwinyi ni kuhalalisha zinaa kwakti ALLAH amesema umsikurubie zinaa.

  • Yes, ni vibaya kijana alivyofanya kumkosea mtu mzima adabu. Lakini ni vibaya zaidi Mwinyi anavyopotosha mafundisho ya dini yake kuhusu kinga dhidi ya Ukimwi. Na vibaya zaidi ni ushiriki wa Mwinyi katika uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2005 ambapo alinukuliwa akisema kwamba hata kama itabidi Wazanzibari mia moja wauliwe ilimradi tu Karume arudi madarakani ni sawa. Yeye alikuwa mtu muhimu kwenye timu ya kampeni ya Karume.

  • Nadhani hata hao wanaoshabikia hicho kitendo cha aibu nao hawana maana. Mnataka hayo yakaongelewe wapi kama cyo kwa waumini nyie wenyewe ambao ndo watendaji wakuu na waathirika wa ugonjwa huo. Mtake msitake mzee Ruksa aliwafikishia ujumbe lakini kutokana na kutokuwa na akili kwa huyo bwana ndo maana akayatenda hayo. Waumini nyie ndo waathirika wakubwa kubalini kupewa ushauri na msisitizo kuhusu Ukimwi! Utakisha oooohoooooooooo!

  • pumbavu mkubwa,

    sasa atachezea kisago freshi,

    tanzania is not Iraq, where you can send a shoe, its worse.

  • Ustadh kafanya kosa kuhusu kumpiga kibao Mtu aliyemzidi umri. Ila Mh. Mwinyi kunavitu vengine si vakuongelea sehemu kama hiyo Topic ya Ukimwi tafuta sehemu nyengine. Ustadh wamemuonea.

    Hao waliompiga pia wanatakiwak ushtakiwa, jengine walikuwa wapi wanaolinda na wasimamiaji hawajui kuweka mtu wa kuweka kupaza sauti? makosa mengi pia wanayo wenyewe yeye pia angewashitaki hao jamaa waliompiga mateke. Ila haki yake ipo kwa muumba Allah huyo Ustadh au Sultan.

  • ustaadh una darja kubwa mbele ya allah

  • yaani usalama wanapiga watu mbele ya camera alafu tunasema tz wanafuata sheria ile sio sheria kabisa watu kuchukua hatua mukononi mwao..dats just bullshit

  • Mbona kafanya poa tu!!!

    Condom inahusu nini na Dini??!

    Dini zote bas dats not good to say...

    si waambie wajukuu zako kwako tu.. au una advertise??

  • There is serious security failure. Body guards are trained to trust no one and to suspect everyone. Hawa jamaa wa usalama vipi?

  • hope angekuwa George Bush angekwepa hilo kofi

  • Hahahahaha

  • fastaaaa,ka' jet li

  • Inatisha,bado sasa tuanze kuwachapa wabunge wanapotoa hoja za kuchoka bungeni

  • Tanzania bwana. Yaani watu wa usalama wameanza wao kumpiga. Inatakiwa hao nao washitakiwe. Wao kazi yao si kuchukua madaraka mikononi, labda mtu agome. Nchi na watu na viongozi, wote sawasawa.

  • isee ile sio show nzuri kabisa, hawaonyeshi kuwa wanafanya kazi kwakumpiga hadharani namna ile....angalieni jamaa msifate yule alompiga bush kiatu zile ni nchi za wenzetu kuna sheria....!

  • Ebwana eeeeeee,Niliichelewa hii ITV kumanga manga

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more