This lack of actual knowledge is a perpetuating problem and one that has contributed immensely to the many prevalent misconceptions surrounding people from Coast. People from the Coast Province are not lazy but it was the system of previous gov'ts which were absolutely horrible towards the peace loving indigenous people of the coast. Kenyatta and Moi regimes could be guilty of this,,, they oppressed /marginalised the coast province. We will not forget.
i dont really understand why you hate guys from the coast, we aint lazy, we hustle hard thats why our ife is simpler than anywhere else. we are business people, if you dont believe me, go down the coast and look for yourself, we drive big, eat big, enjoy life big. i was born and raised at the coast, its my hometown and i hate someone disrespecting it, am sorry but thats what up. pamoja
why make a disparaging comment when you have no evidence about these particular persons. Enjoy their beutifull music and spare us that kind of politics for another day.
Yakhe sikuchanganyi. Ninachotaka kukwambia ni kwamba maadamu wote ni waswahili bila shaka wameathiriana. Mfano mzuri ni hicho Kirumbizi. Kiko Unguja na Pemba lakini Lamu ndiko kilikokolea. Maanake ni ngoma ya waswahili. Na chakachaka vivyo hivyo. Kwa hivyo Ustadh Haji Machano na Hamida Malembeka wakipiga chakacha wamegonga ndipo!
Msikize Hamida Malembeka. Chakacha ni ngoma ya Waswahili na waunguja vyovyote vile ni waswahili. Hata kama goma lenyewe litapawa majina tofauti mdundo ni ule ule!
Chakacha ni ya Waswahili na Unguja pia kuna waswahili. Mtazame Hamida Malembeka! East Africa Melody walianza na chakacha. Je unakumbuka wimbo wa Melody uliokuwa ukiuliza "wowowo ina maana gani"? Hiyo basi ndio chakacha.
Samahani najua ni Chakacha ! lakini ilibidi ni ipatie Title Taarab hili ni get u r attention......dont know where the video was recorded..but i jst like the song
shukran.. kwetu sisi tusioishi Kenya kwa wakati hii.. burudani ya nyumbani ni mambo yote...
9makala 4 months ago
hii ngoma ni poa, wenye kusema sio taarab wakumbuke kuwa taarab huimbwa kwa midundo tofauti, kuna haraka na polepole kama mtindo wa kitambo.
wamwaneriri 11 months ago
its from msa,,we dance to it,,and we love it....
zeenat498 11 months ago
This has been flagged as spam show
well .. so you guys didnt show me ;) ..
I probably just have been on the idiot places ;o)))
not true .. was seeing many nice places ... particulary the eastcoast.. just wow :D
But when the samples coming closer together, then probably its better playing live ;)
Dubconferencedotorg 1 year ago
Comment removed
Dubconferencedotorg 1 year ago
I have been in Zanzibar .. never was hearing this nice music .. only gangstarap
Dubconferencedotorg 1 year ago
@Dubconferencedotorg: this music is often played live, so while in Zanzibar you need to visit particular places where it's played...!!
mkuki2000 1 year ago
Jina la mwimbaji na wimbo huu ni nini? What's the name of this song?
Ni nzuri sana!
coccinelsucrer 1 year ago
Comment removed
coccinelsucrer 1 year ago
HORRIBLE version of a beautiful song!
kikivive 1 year ago
mavi ya kuku.
Generalidibabu 2 years ago
Mombasa Raha!!!
Kweli ...... Nothing compares to Mombasa...!
Live Life to Full in Mombasa....
Mambo Jmabo...!
Boydip 2 years ago
am an arab and this song was a big hit in the gulf early 90's i love it even though i don't understand a word but the music is beautiful
sultanzaman 2 years ago
where are the man ? they supposed to be dancing with the women lol ..
dollarbill1010 2 years ago
wasenge tu wanacheza ,real man don't dance this type of music
eastafrica1 2 years ago
Comment removed
mbaye67 2 years ago
Eweee!....ya kweli hayo, mombasa raha lakini jua kali...!
mkuki2000 2 years ago
Comment removed
mbaye67 2 years ago
i miss mombasaaaaaa damn
SarahAliJordan 2 years ago
felling dream mombasa girls iam from magiyingeeni imiss ilot imiss momba village and light house
HEYCAL303 2 years ago
Napenda sana nyimbo hi nakumiss home so much
Kenyadis 3 years ago
weweez!!!!!matoo yuu......hallo halloooo..kinyaunyau kikia cha pweza....mombasa hoyee
bamariz 3 years ago
This lack of actual knowledge is a perpetuating problem and one that has contributed immensely to the many prevalent misconceptions surrounding people from Coast. People from the Coast Province are not lazy but it was the system of previous gov'ts which were absolutely horrible towards the peace loving indigenous people of the coast. Kenyatta and Moi regimes could be guilty of this,,, they oppressed /marginalised the coast province. We will not forget.
Babbyby 3 years ago
I remember them days in mombasa. nice city nice culture and women. Big up Sammy , Dan wa Tudor and Jackie Ukunda. Miss the beaches.
larrykocha 3 years ago
why do u say they are lazy? Do u give them anythin? Grow Up
Generalidibabu 3 years ago
umetupa mbao kathoni,na siajabu kuwa wewe ni
mmoja wa toka bara wanaofanya biashara takikana huko mwambao nakuharibu sifa za pwani.Usharati sio ujuzi dadangu.Lawi(UK)
aldee93 3 years ago
mombasa juu
rengwa 4 years ago
i dont really understand why you hate guys from the coast, we aint lazy, we hustle hard thats why our ife is simpler than anywhere else. we are business people, if you dont believe me, go down the coast and look for yourself, we drive big, eat big, enjoy life big. i was born and raised at the coast, its my hometown and i hate someone disrespecting it, am sorry but thats what up. pamoja
jowino0 4 years ago
why make a disparaging comment when you have no evidence about these particular persons. Enjoy their beutifull music and spare us that kind of politics for another day.
peace
mainagachau 4 years ago
COAST people we are peaceful.
sdimaka 4 years ago
this is an old song by Issa Matona. But Mushrooms are from my home town Mombasa (kiziwi) covered it. I believe the band name is THE MUSHROOMS.
slikmalik 4 years ago
can anyone tell me whats the name of the song and who sings it thanks i will appreciate
tonewaf 4 years ago
For more Taarab Videos and Audio, check out eastafricantubeDOTcom. Hottest site for Taarab Videos and Audio.
lebronz 4 years ago
munasemaje nyinyi
DeyvisNPJ 4 years ago
taarab ya kweli, nzur kabissa.
kwaheri sabarwawa
samomoi 4 years ago
This video is not for this song. umeharibu ladha ya nyimbo
19a6s1f 4 years ago
africa keep it real wapende wasipende
jahila1 4 years ago
imagine them women find out that they got posted on you tube they'l b lyk weh leo ni leo watoto wa skuhizi hawana adabu
verydevilish 4 years ago
ina sound kama ngoma ya wa`shomali
qaliif88 4 years ago
we mchagga nini, sio washomali ni wasomali
trudysixth 4 years ago
wat eva dude.
qaliif88 4 years ago
nzuri sana
jgmureithi 4 years ago
acheni kubishana wazee wa kazi...ya ng'ombe, mbuzi,kuku, bata, punda.....zote nyama!
rk097 4 years ago
acheni kubishana wazee, ya ng'ombe,mbuzi,kuku,bata, punda.........zote ni nyama........
rk097 4 years ago
maneno yanini nyote watu wa pwani na hiyo ndio starehe yenu,msianze kuzibagua kwa kutumia miji au mikoa,au nchi mnalingana kwa mengi
mudarthir 4 years ago
Yakhe sikuchanganyi. Ninachotaka kukwambia ni kwamba maadamu wote ni waswahili bila shaka wameathiriana. Mfano mzuri ni hicho Kirumbizi. Kiko Unguja na Pemba lakini Lamu ndiko kilikokolea. Maanake ni ngoma ya waswahili. Na chakachaka vivyo hivyo. Kwa hivyo Ustadh Haji Machano na Hamida Malembeka wakipiga chakacha wamegonga ndipo!
buashraf 4 years ago
Msikize Hamida Malembeka. Chakacha ni ngoma ya Waswahili na waunguja vyovyote vile ni waswahili. Hata kama goma lenyewe litapawa majina tofauti mdundo ni ule ule!
buashraf 4 years ago
Kama ndivyo East Africa Melody na Hamida Malembeka mbona wanasema hawawachi chakachaka? Wananjenje nao pia hupiga ngoma wakitaja chakachaka!
buashraf 4 years ago
hii ngoma ni kali... ni kitu. any1 ana kinyanyau- pliiz uipost....tnx
jugle999 4 years ago
msee pia mii natafuta hiyo kinyanyau ....
brazauk 4 years ago
kama mtu yeyote ataweza kupata nyimbo zingine za wananjenje ningeomba upost.
latifa66 4 years ago
Unawajua Wananjenje wa Dar es Salaam? Wao ni magwiji wa magoma ya chakachaka wala hawatoki Amu au Mvita. Chakacha ni ngoma ya asili ya Waswahili!
buashraf 4 years ago
Chakacha ni ya Waswahili na Unguja pia kuna waswahili. Mtazame Hamida Malembeka! East Africa Melody walianza na chakacha. Je unakumbuka wimbo wa Melody uliokuwa ukiuliza "wowowo ina maana gani"? Hiyo basi ndio chakacha.
buashraf 4 years ago
nyie tuwacheni sisi waamu muna wivu nasi hamutupati nendani juu mukazibe
fatmataib 4 years ago
I love this song, kwani nani kaimba? natafuta lakini sipati, kama mnajua naomba mtu aniambie...asanteni
nemhina 4 years ago
Bendi ni Safari Sound kutoka Kenya
032694 4 years ago
Ni kweli hii sio taarab. Mambo mapigo kama ya mchiriku.
usaniinaizesheni 4 years ago
Enjoy the music en shut up
sabarwawa 4 years ago
hii ni chakacha ndugu, wala si taarab kamwe! mwiti
mwitimarete 4 years ago
Huu wimbo ni kama kuyala mafi ya mtoto mchanga
masaa121 4 years ago
what the hell
sabarwawa 4 years ago
hii muziki inanikumbusha Florida 2000(Moi Avenue)bana...Hey ! i miss Kenya !!!
chefjose 4 years ago
Sabarwawa.... Shukrani for the post...
abuu112 4 years ago
i tried downloading the whole song, but i guess am techno-logically challenged......anyone have ideas?
sabarwawa 4 years ago
sabarwawa, canu put the full song, even withoutht he video. Do u have the song shsilingi yankara yauwa? Thanks
gupigesasa 4 years ago
sorry this all i gat in video....i have an mp3 format with no video
sabarwawa 4 years ago
sorry this all i gat i video....i have an mp3 format with no video
sabarwawa 4 years ago
thanks alot i love this songs canu put the full song please thanks again
mwahija 4 years ago
wewez, inanikumbusha tarabu ya kenya kwamarusi. very nice
gupigesasa 4 years ago
Samahani najua ni Chakacha ! lakini ilibidi ni ipatie Title Taarab hili ni get u r attention......dont know where the video was recorded..but i jst like the song
sabarwawa 4 years ago
Tingisha viuno,matingatinga yakae kando.
rasmugumo 4 years ago
lol, danced to this at the wedding and freaked the church goers out, hehe.
Sikhindu 4 years ago
This reminds me of those days in kisiwani Mombasa. please post a few more.
rasmugumo 4 years ago
Wee..weeezzzzzzzzzz....santa hahahahah..love dis song never goner get sick of it!!!tarabu eko wapiiii..hehehe :) thnx 4 putting dis song xxx
HabibtyA 4 years ago