Wimbo Huu mtaaamu sana! Sauti zote zimependezana na pia ujembe huo ni sahihi. Akikushinda mrudishe kwao! kwani mzigo unabeba wa nini na mgongo umepinda tayari Aaah!
Nani kama Marijani Rajabu, Fumbo, Fundisho, Medhali, Nyimbo za Furaha hata Zashida, utayapata papa hapa ukimskiza MR mtoto wa dandu TZ. Mola amlaze pema peponi. R.I.P Marijajani, we miss u dearly.
sauti zimepangika
kweli cha kale dhahabuu
misskassim90 2 months ago
Ahsante mwana, umeugusa moyo. Je unayo ile ya mwana vibaya(Chakubanga)? Kama unayo ipost
Hi quality, beautiful sound!
brownee20007 5 months ago
Ahsante mwana, umeugusa moyo. Je unayo ile ya mwana vibaya(Chakubanga)? Kama unayo ipost
brownee20007 5 months ago
@brownee20007 . usiende mbali, Utafute humuhmu upo mkuu!!!!
AXNONIX 1 month ago
wimbo mzuri, RIP Marijani
mwaruka100 6 months ago
long taimu sana hii,kumbukumbu safi sana
jombana 7 months ago
Wimbo Huu mtaaamu sana! Sauti zote zimependezana na pia ujembe huo ni sahihi. Akikushinda mrudishe kwao! kwani mzigo unabeba wa nini na mgongo umepinda tayari Aaah!
mamasoloash 8 months ago
Nani kama Marijani Rajabu, Fumbo, Fundisho, Medhali, Nyimbo za Furaha hata Zashida, utayapata papa hapa ukimskiza MR mtoto wa dandu TZ. Mola amlaze pema peponi. R.I.P Marijajani, we miss u dearly.
wuodkojwang 8 months ago
MImbo ya butamu...Sana
mbuii27 1 year ago
MWENYEZI MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA JABARI LA MUZIKI .. UEPUSHIWE NA ADHABU YA KABURI .. AMINA RABI AMINA..
hussein1164 1 year ago