wakenya mlimpuuza Moi, mtajuta. Huyu mzee anasema kweli. Shaaban Robert alisema "...msema kweli siku zote hukimbiwa na marafiki, mimi nikipatwa na mkasa huo, sitawaonea wivu wanaodumu na marafiki zao milele..." Moi hana wivu dhidi yenu. na msema kweli.

aaroneu07 3 years ago