Asante sana ndugu. Nasikia na kuelewa vizuri sana. Yaani nikianza kusikiliza nyimbo zako na jinsi mlivyoimba, naona mwangaza mbele yangu na naamini Muumba wa vyote yuko na anastahili kuabudiwa. Tangu nifike hapa Norway sijasikiya nyimbo kama zako ne Bahati Bukuku. Yaani kama sijasikiya hizo kanda mbili, sijarizika. Nina hamu yakuwatembelea siku moje, kama Mungu anapenda. Endelea na kazi ya Mungu.
Cha msingi ujue kwamba kwenda mbinguni sio kama kanuni fulani ya fizikia kwamba ukichukua mbili ongeza tatu utapata mbingu. mkumbuke yule jamaa aliyesulubiwa na yesu, yeye alikuwa mwaminifu katika nafsi yake mwenyewe (kukubali uovu wako na adhabu unazopata) na alichokumbuka kusema ni Ee YESU nikumbuke katika ufalme wako na hakika aliingia mbinguni. Yule mwingine alikuwa mwaminifu katika mambo ya dunia hii -alikuwa bado anaitamani DUNIA
i have a collection of huge volumes of novels which i only take a few days to read and comprehend eveything unlike the Holy book. yenyewe nikisoma hata sielewi,Brother Bonny umesema ukweli!!!!!!
SHETANI ASHINDWE KWA JINA LA YESU. Amen.
GOOD SONG MY BROTHER.
focaisawiza7 8 months ago
Good bless you!!
MrAdija 10 months ago
Ni kweli kabisa kaka siyo wewe tu tuombeane kwa huo udhaifu
The90720 1 year ago
That is excellent music. It blesses me alot. Be blessed.Ochido from Kenya.
OCHIDO2006 1 year ago
Nilikuwa natafuta nyimbo za Ephraim Mwansasu, dada Christina Mwangonda, Kabula George na Mchungaji Abiudi Misholi. Joel Njeza. London UK
nothingemptynull 2 years ago
Asante sana ndugu. Nasikia na kuelewa vizuri sana. Yaani nikianza kusikiliza nyimbo zako na jinsi mlivyoimba, naona mwangaza mbele yangu na naamini Muumba wa vyote yuko na anastahili kuabudiwa. Tangu nifike hapa Norway sijasikiya nyimbo kama zako ne Bahati Bukuku. Yaani kama sijasikiya hizo kanda mbili, sijarizika. Nina hamu yakuwatembelea siku moje, kama Mungu anapenda. Endelea na kazi ya Mungu.
Asante.
mlumba12 2 years ago
God should help us, the message in this song,is absolute true, God help us, we need your help in the name of your dear Son, Jesus Christ, Amen.
mwambone 3 years ago
Mwongo na mulozi ni watu wa kuchomwa.
Biblia inasema kwamba, usioneze wala usipunguze neno hata moja katika biblia.
Mnaweza kuniambia ni fasi gani katika biblia inayosema kama waaminifu wataenda mbingu????
Tafadhali sana naitaji jibu.
Tutazidi kuwasiliana kama na pata jibu.
Asanti sana.
Mlumba 3 years ago
Waaminifu ndio watu gani, fafanua.
Cha msingi ujue kwamba kwenda mbinguni sio kama kanuni fulani ya fizikia kwamba ukichukua mbili ongeza tatu utapata mbingu. mkumbuke yule jamaa aliyesulubiwa na yesu, yeye alikuwa mwaminifu katika nafsi yake mwenyewe (kukubali uovu wako na adhabu unazopata) na alichokumbuka kusema ni Ee YESU nikumbuke katika ufalme wako na hakika aliingia mbinguni. Yule mwingine alikuwa mwaminifu katika mambo ya dunia hii -alikuwa bado anaitamani DUNIA
samwelalananga 2 years ago
Shukrani for posting. Thanks.
LUK0BA 3 years ago
cant hide the feelins! nilisikia sana kwa basi za mbeya-tky-kyela.
tatuuzy 3 years ago
kwajina la yesu ashindwe shetani
asheilla 3 years ago
Its true ,i am a victim of the circumstance,
i have a collection of huge volumes of novels which i only take a few days to read and comprehend eveything unlike the Holy book. yenyewe nikisoma hata sielewi,Brother Bonny umesema ukweli!!!!!!
LWAKABEN 3 years ago
try to pray god befor u starte reading it help soma biblia
bahojewe 3 years ago
Kweli, usingizi wanaweza kukamata wakati unaposoma Bible lakini kusoma gazeti, utapata nguzu zaidi.
mrfamakinwa 4 years ago 2