YOU LIKE IT OR NOTE THIS IS THE ORIGINAL SOUND OF TANZANIA THE ORIGINAL SOUND OF EAST AFRICA AND YOU HAVE TO REMEMBER THIS IS OLDEST BAND SO FAR IN AFRICA SINCE 1964 WHERE IS TP OK JAZZ,WHERE IS AFRIZA MSONDO IS STILL GOING ON STRONG ONGERA MSONDO NGOMA SOME OF THIS MUSICIAN FROM CONGO SHOULD RESPECT MSONDO BIG TIME
i find these musicians even better than the congolese. no disrespect, though, what i mean most of congolese musicians use "key boards" nowadays. here one sees saxophone, trumpet. so don't come and tell me there is no difference btw the artificial sound produced by the use of key boards and the natural one coming from a saxophonist or a trumpeter!
kweli mzeeunaysema nadhani hao vijaana wamekuelewa sasa ulichokuwa unasema ktika uhai wako. Haya ni simulizi halisi katika jamii zetu. Watu wanakosa shukurani na penginehudhani wao ndio wanostahili kutendewa na wao kutenda kwa wengine si halali. Umetuacha kimwili lakini wosia wako unadumu masikioni mwa watu.
Great music. It talks about the naked truth. When you are helping, all remember you, but when yo have nothing, everybody pretends that they don´t knowyou. I like the counselling: let´s help one another, anyithing can happen!!!
Woote kama Waafrika tunajivunia kwa miziki yote ya Afrika na hasa miziki ya Afrika Mashariki na ya kati,tunafurahia miziki yote ya bara la Afrika,lakini kwavile sisi watu wa Afrika mashariki tunaunganishwa na lugha moja ya Kiswahili ndio tunajivunia na miziki yote ya Afrika Mashariki na ya kati,tusisahau kutoa shukurani kwa wana muziki wa Zaire kwa michangio yao katika SANAA ya miziki Afrika Mashariki na ya kati.Asanteni sana.
huu ndio muziki wa tanzania tunajivunia hakuna cha pededjee wala ndombolo yooote hayo takataka huu ndio muziki wetu msondo jamaini msichoke watarudi wenyewe wamepotoka tuu kidogo
Baba ya muziki! Msondo ngoma! Love it.
deuskulwa 2 months ago
This is brilliant,Tx Moshi,Comander Gurumo,mzee Mabera,Momba and all,congratulation.
MightyLumber69,will you please upload KILIO CHA MTU MZIMA,TUMA,ARABIA,NDOA NDOANA,ETC.
MrSammyeddy 8 months ago
This is brilliant,Tx Moshi,Comander Gurumo,mzee Mabera,Momba and all,congratulation.
MrSammyeddy 8 months ago
I have been in and out of the country, but will add more videos soon! Sorry guys.
MightyLumber69 9 months ago
I have ben in and out of the country, but will add more videos soon! Sorry guys.
MightyLumber69 9 months ago
his flat top is immaculate...hahha
tenseman08 9 months ago
YOU LIKE IT OR NOTE THIS IS THE ORIGINAL SOUND OF TANZANIA THE ORIGINAL SOUND OF EAST AFRICA AND YOU HAVE TO REMEMBER THIS IS OLDEST BAND SO FAR IN AFRICA SINCE 1964 WHERE IS TP OK JAZZ,WHERE IS AFRIZA MSONDO IS STILL GOING ON STRONG ONGERA MSONDO NGOMA SOME OF THIS MUSICIAN FROM CONGO SHOULD RESPECT MSONDO BIG TIME
yusefbig 10 months ago
i find these musicians even better than the congolese. no disrespect, though, what i mean most of congolese musicians use "key boards" nowadays. here one sees saxophone, trumpet. so don't come and tell me there is no difference btw the artificial sound produced by the use of key boards and the natural one coming from a saxophonist or a trumpeter!
piquedard 10 months ago
kweli mzeeunaysema nadhani hao vijaana wamekuelewa sasa ulichokuwa unasema ktika uhai wako. Haya ni simulizi halisi katika jamii zetu. Watu wanakosa shukurani na penginehudhani wao ndio wanostahili kutendewa na wao kutenda kwa wengine si halali. Umetuacha kimwili lakini wosia wako unadumu masikioni mwa watu.
Manassehpm 1 year ago
lol...that haircut ....thought it was hat
tenseman08 1 year ago
Great music. It talks about the naked truth. When you are helping, all remember you, but when yo have nothing, everybody pretends that they don´t knowyou. I like the counselling: let´s help one another, anyithing can happen!!!
pamutua 2 years ago
big up msondo ngoma yaani mziki wenu naupenda sana hasa pale anapokuwa anaimba tx moshi yaani huyu jamaa anaijuwa sauti ya kunogesha mziki
rest in peace tx and others past bandmates
jyjonsq 2 years ago
Thanks for posting.
Great music.
helsloot 3 years ago
wimbo mzuri sana,momba,tx rest in peace.sauti zenu hatutasahau milele
jombana 3 years ago
Ata mimi nime ona hivyio ni ukweli.
ongijo 3 years ago
I do accept. I am thrilled to see good music
like this.
ongijo 3 years ago
msondo ngoma ni hot kabisa
Bashwabe 3 years ago
Woote kama Waafrika tunajivunia kwa miziki yote ya Afrika na hasa miziki ya Afrika Mashariki na ya kati,tunafurahia miziki yote ya bara la Afrika,lakini kwavile sisi watu wa Afrika mashariki tunaunganishwa na lugha moja ya Kiswahili ndio tunajivunia na miziki yote ya Afrika Mashariki na ya kati,tusisahau kutoa shukurani kwa wana muziki wa Zaire kwa michangio yao katika SANAA ya miziki Afrika Mashariki na ya kati.Asanteni sana.
Kapunyu 3 years ago
MIGHTYLUMBER69,
kwani uliaga dunia, nini? Ukowapi? leta msondo ngoma kwa wingi bwana!! jameni, ujumbe unao faa.
morimax07 3 years ago
bring some more of msondo ngoma. wanao ujumbe upasavyo
morimax07 3 years ago
WaKenya wangetoa funzo moja ama mbili vile nyimbo hufumbwa na kuimbwa. Sikiza vile kila stepu inaenda smooooooth. Ama!?
LusaMonene 3 years ago
Ni ukweli kabisa.Unawazaidia lakini wasahau haraka.Wakipata vyao wakuhepa.Tushiriakiane ndugu Zangu.Mimi ni kutoka Kenya.
wysima 4 years ago
MUSIC MADE IN TANZANIA,Msondo Ngoma - Chaka-Chua - and all Tanzanian Style.Its best up2date. Wooooooooooooow.
Kidungaz 4 years ago
It may be made in Tanzania but it is Zairian
papanzinga 4 years ago
What difference does it make. It's all African!!!
vcngu 3 years ago
Musiki Africana!!!
vcngu 3 years ago
Muziki wa kwenu? Sounds to me like music from Zaire
papanzinga 4 years ago
It's all Africana dud.
vcngu 3 years ago
The absolute best concidering all. Jameni huu mziki maridadi zaidi. Enjoy!
wanjaland 4 years ago
Huu ndo muziki sio mambo ya Playback na kelele zisizokuwa na msingi.
MightyLumber69 4 years ago
mighty bring on some of this kind of music. are there any other msondo ngoma music? i like it.
morimax07 3 years ago
Another deceased from this band is the singer with black (R) cap, Athuman Momba. R.I.P Momba
tanzanianboy 4 years ago
TX Moshi William (who is a leading singer here) died on 29th March 2006. He was one of Tanzania's greatest musicians of all the time. R.I.P Moshi.
tanzanianboy 4 years ago
big up Msondo Ngoma Ochestra, big up Tanzania-authentic Africa;the land of Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro and Serengeti.
tanzanianboy 4 years ago
Fantastique!!!
soukous70 4 years ago
huu ndio muziki wa tanzania tunajivunia hakuna cha pededjee wala ndombolo yooote hayo takataka huu ndio muziki wetu msondo jamaini msichoke watarudi wenyewe wamepotoka tuu kidogo
niendiwe 4 years ago
Muziki wa kwetu hakuna kelele wala ujinga usiokuwa na sababu. Mambo hayoooooo!
MightyLumber69 4 years ago
Kibao sana!
HeshimaJameni 4 years ago