TAKE CARE ABOUT THIS GUY KOLONGA. HE IS RACIST, HATES SOUTHAMERICAN WHITE PEOLPE. BUT WE ARE NOT RESPONSABLE ABOUT THE ENGLISH MEAT TRADERS MADE IN THE PAST AGAINST HIS RACE.
big up African Stars Band (Twanga Pepeta), big up Tanzania-authentic Africa;the land of Zanzibar,Selous, Kilimanjaro, Mafia, Saa Nane, Ruaha, Udzungwa, Ngorongoro and Serengeti! I love Tanzanian hospitality;they are very kind and lovely people on earth!
Hi marafiki mpoe huko popote mnapopatikana ,ni nani yule ambaye anaweze ku nisaidia kwa kupata video hii ya Twanga pepeta,yaani nimekumbuka nyumbani ,,,
Segere sijafanikiwa kupata Video yake, ila nina audio. Ila nitajaribu kuulizia tena. Ila kuna mwimbo wa Bwana Misosi "Mabinti wa Kitanga", kuna kipande wanapandishia mapigo fulani kama ya Segere, nitakutafutia video yake. Segere ndio mambo yangu kaka.
TAKE CARE ABOUT THIS GUY KOLONGA. HE IS RACIST, HATES SOUTHAMERICAN WHITE PEOLPE. BUT WE ARE NOT RESPONSABLE ABOUT THE ENGLISH MEAT TRADERS MADE IN THE PAST AGAINST HIS RACE.
grodvil 1 year ago
He is from Tanzania, but this music seems like soukouss of Congo (wonderful stuff!) Can anyone direct me to some artists of bongo flava?
hirofan 1 year ago
TZBoy uko wapi tafadhali sana muheshimiwa enjika hewani kibao cha KISA CHA MPEMBA. ili tuone visa vyake aisee..
intrepeco 2 years ago
Twanga kipindi hicho walikuwa bomba na makini
walitulaza inje sana hasa wanapobiga maeneo ya Ilala huwa kuna kuwa na jimama mkundu huo lazima ujitose mpaka usiku wa manane
MegaSerengeti 2 years ago
This has been flagged as spam show
Where are they from?
hinglel 2 years ago
These guys are really professionals, just listen to this guitar piece right here 03:30
mkuki2000 2 years ago
twanga pepeta nimpenda mwenyewe! i miss this music!
kadawa1978 3 years ago
can you plse upload JIRANI BY TWANGA PEPETA
lmashua 3 years ago
...shoka moja m'buyu chini wazamani utajiju!!!
Kingaja kama unayo nyimbo yao inoitwa (kisa cha mpemba) tuekee basi, tafadhali..
mkuki2000 4 years ago 2
this is a nice group.. baba yangu an penda nyimbo zaoo
god bless
beatboxhicksy 4 years ago
wa tanzania ao wa kongomani?wimbo huu unatia uvivu:D
Chiefiboy 4 years ago
Utajijuuuu
HonerIpp123 3 years ago
Oya(Honerlpp123) towa urofa!
Umekosa lakuandika au vipi
Chiefiboy 3 years ago
Oya fanya mambo yako kivyako, ukidandia habari za wanaume utadandiwa kwa nyuma. Fuck u
HonerIpp123 3 years ago
Chama jana nilikuwa namkamua dada yako!
HonerIpp123 3 years ago
acha zako zakuleta! we sini mtu mzima na kukaa una andika mambo ya kihuni.
Chiefiboy 3 years ago
haya kaka nisamehe!
HonerIpp123 3 years ago
" Life Is A Gift " Today before you say an unkind word, Think of someone who can't speak.
NGURUNGA 4 years ago
big up African Stars Band (Twanga Pepeta), big up Tanzania-authentic Africa;the land of Zanzibar,Selous, Kilimanjaro, Mafia, Saa Nane, Ruaha, Udzungwa, Ngorongoro and Serengeti! I love Tanzanian hospitality;they are very kind and lovely people on earth!
tanzanianboy 4 years ago
inanikumbusha nyumbani kenya channel 5
nabonwe 4 years ago
safi sana vijana sijapenda mavazi yeno tu. lakini poa
tauzan 4 years ago
Wanafanya vizuri kwakeli, wanahitaji pongezi! Hongera twanga pepeta!
cjhaight 4 years ago
Hi marafiki mpoe huko popote mnapopatikana ,ni nani yule ambaye anaweze ku nisaidia kwa kupata video hii ya Twanga pepeta,yaani nimekumbuka nyumbani ,,,
Haya basi salamu kwenu wote
kizito22 4 years ago
Segere sijafanikiwa kupata Video yake, ila nina audio. Ila nitajaribu kuulizia tena. Ila kuna mwimbo wa Bwana Misosi "Mabinti wa Kitanga", kuna kipande wanapandishia mapigo fulani kama ya Segere, nitakutafutia video yake. Segere ndio mambo yangu kaka.
KINGAJA 4 years ago
tuko pamoja kaka
tubemusty 4 years ago
Ni safi,poa na makini kaka!!!Big up 2 all
salimgilla 4 years ago
haya ndiyo mambo jamani mmh mambo ya mgongo mgongo hayo uwiiih
jimmy200007 5 years ago
Hizi nyimbo nilikuwa naziona kwa EATV5 nilipokuwa nyumbani huko kenya.
marciabiancaTay 5 years ago
tanzania inawakilisha,pamoja
tanzanianboy 4 years ago
pappi kocha walitolewa kwa jela?
nabonwe 4 years ago
bado wanasota.wanaweza toka tu wakishinda rufaa yao mahakama ya rufaa,something which is very unlikely.
tanzanianboy 4 years ago
KINGAJA haya ndio maneno baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabaaaaaaaaaaaaakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..!!
Tafadhali sana post video nyingine mukubwa..
Tko mbali mshikaji..
Asante sana..
intrepeco 5 years ago
Usijali Mkubwa, mambo mazuri yanapo patikana lazima tuna share. Si unajua tena ukisha kuwa mbali na nyumbani. Shukrani.
KINGAJA 5 years ago
Mukubwa Kingaja.. wapi Generali Ramadhani Masanja.. Msalimie pia nae babie Diana..
Jesca Charles na wengineo..NAWAFAGILIA BAAAB KUBWA..!!
intrepeco 4 years ago
Shukurani kwa aliyeweka hii video, Masanja anasauti nzuri sana na inavutia, great beats na wanacheza vizuri. Kazi nzuri!
Rehma30 5 years ago
eeee bwana NDIO!! twanga pepeta kisima cha burudani!! am luving this video! my (absolutely) favorite song....
Mkaliwao 5 years ago