Mabruki ni mzee wa kutumia kama wengine ndugu zetu walio kwenda nje ni umalaya pombe na vitoto kwa fujo hawana mbele wala nyuma bora wangekosa nafasi za nje wakasota hapa hapa home.....................
wimbo mzuri , ujumbe bado una nguvu ktk dunia yetu ya leo, ingawa wimbo una miaka mingi, ahsante kwa kazi nzuri bro, huu ni urithi wetu acha hizi nyimbo za nailon za bongoflavam unatungwa leo kesho umeyayuka
Thank you bcamerounne for your comment and to
remember nice voice of Kasongo Mpinda Clayton,
his still singing with Assosa in Orchestra Bana Maquis.
Dekula2 1 month ago
I can hear the voice of Kasongo Mpinda Clyton, big up Dekula
bcamerounne 1 month ago
Mabruki ni mzee wa kutumia kama wengine ndugu zetu walio kwenda nje ni umalaya pombe na vitoto kwa fujo hawana mbele wala nyuma bora wangekosa nafasi za nje wakasota hapa hapa home.....................
MrNass2000 1 year ago
wimbo mzuri , ujumbe bado una nguvu ktk dunia yetu ya leo, ingawa wimbo una miaka mingi, ahsante kwa kazi nzuri bro, huu ni urithi wetu acha hizi nyimbo za nailon za bongoflavam unatungwa leo kesho umeyayuka
MrSinafungu 1 year ago
Dekule Kahanga asante kwa kazi kubwa ya kuhifadhi muziki wa kwetu katika technolojia ya kisasa.
Pia asante kwa kutuwekea clips za wanamuziki waliofanya hizi kazi kubwa.
Naomba usichoke na utapokwenda Dar-es -Salaam mjipange vizuri na sponsors mtoe zilizopendwa ktk mikanda kamili ya video.
msaniiTZ 2 years ago
The man singing near to me on picture is Parash Mukumbule,thanks aakisondella for your question
Dekula2 2 years ago
Thanks Bro Dekule for this valuable post, by the way who is the man singing near to you?
aakisondella 2 years ago
lete vitu :)
tizedboy 2 years ago