Beautiful poem! I Love this language. Unfortunately, youtube won't let me post all the verses! Ewe uniadhibue ee adhabu zilokithiri Sina budi nikwambie ufanyeje mashuri ni mimi nikupendae nisokuwa khiari Dada Oh dada dada wanihangaisha Naapa kwa subuhana ya hofu yangu swabiri Si usiku si mt'ana hazinishi tafakuri Naumia budi sina kwako ndiwa manga huri Kwako sitofanya ghera nyonda unganikasiri kutuza yangu busara lolote nishakhiari mja ni mwenye subira na mimi nitasubiri
Beautiful Poem! I love this language! Unfortunately, it won't let me post all verses!
Ewe uniadhibue ee adhabu zilokithiri Sina budi nikwambie ufanyeje mashuri ni mimi nikupendae nisokuwa khiari Dada Oh dada dada wanihangaisha.
Naapa kwa subuhana ya hofu yangu swabiri Si usiku si mt'ana hazinishi tafakuri Naumia budi sina kwako ndiwa manga huri Kwako sitofanya ghera nyonda unganikasiri kutuza yangu busara lolote nishakhiari mja ni mwenye subira na mimi nitasubiri
Wallahi nikisiliza wimbo huu wa Ustaadh Matano Juma machozi yanitoka nikimkumbuka mtoto wangu wa ki-oman ASMA BINT SEIF, nilipokuwa KYAKA-BUKOBA 1976.
This is what we call taarab. Please for any one with Matano juma collection hasa wimbo wa "siku hio itafika" au shukuru muhibu wangu. Tuwasiliane kwa tallx007@yahoo.com . Ninakaseti 3 za Matano juma lakini wimbo huo haumo. Zawadi nitakayotoa anajua mungu.
@tyty1794 mine too, Matano was one of the best!!!...was overshadowed by the Legendarsy Juma Balo & Maulidi but i loved Matano, respect in every aspect.
Nakumbuka mzee badi na mkewe marehemu Shamimu Kongowea karibu na soko jipya
wamwaneriri 11 months ago
here is the last verse
Sivunji yangu ahadi kwa mazito kukithiri
hata zikavuma radi na tufani za bahari
katu sitovunja ahadi mazito kutudhihiri
memwana 11 months ago
memwana 11 months ago
This has been flagged as spam show
Beautiful Poem! I love this language! Unfortunately, it won't let me post all verses!
Ewe uniadhibue ee adhabu zilokithiri Sina budi nikwambie ufanyeje mashuri ni mimi nikupendae nisokuwa khiari Dada Oh dada dada wanihangaisha.
Naapa kwa subuhana ya hofu yangu swabiri Si usiku si mt'ana hazinishi tafakuri Naumia budi sina kwako ndiwa manga huri Kwako sitofanya ghera nyonda unganikasiri kutuza yangu busara lolote nishakhiari mja ni mwenye subira na mimi nitasubiri
memwana 11 months ago
Comment removed
memwana 11 months ago
Wallahi kila siku nikiamka na nikila gati lazima nisikilize wimbo huu zaidi ya mara tano. Umekuwa kama wimbo wa taifa kwangu.
MrIbrahimaa 1 year ago
Raha ya wimbo huu lazima uwe na gati
MrIbrahimaa 1 year ago
Wallahi nikisiliza wimbo huu wa Ustaadh Matano Juma machozi yanitoka nikimkumbuka mtoto wangu wa ki-oman ASMA BINT SEIF, nilipokuwa KYAKA-BUKOBA 1976.
MrIbrahimaa 1 year ago
This is what we call taarab. Please for any one with Matano juma collection hasa wimbo wa "siku hio itafika" au shukuru muhibu wangu. Tuwasiliane kwa tallx007@yahoo.com . Ninakaseti 3 za Matano juma lakini wimbo huo haumo. Zawadi nitakayotoa anajua mungu.
hussein1164 1 year ago
nice songs
shesrat 1 year ago
This is originally Taarab song, unfortunately most of today taarab are just boogers eg rusha roho taarab
juniorborbo 1 year ago 4
mujarab
Mrbabasaleh 1 year ago
Comment removed
juniorborbo 1 year ago
One of my favorites. Thanks for uploading.
tyty1794 1 year ago
@tyty1794 mine too, Matano was one of the best!!!...was overshadowed by the Legendarsy Juma Balo & Maulidi but i loved Matano, respect in every aspect.
Pamojah 4 months ago