SWANGLISH
4:08
Added: 5 years ago
From: eloow
Views: 26,437
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (36)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • haha skilizenu watoto mtajifunza ! xD

  • mna sauti nzuri sana mkiimba pamoja hivi kunani mpaka mkasambaratika? kiswahili kipo juu asante sana J.K.Nyerere

  • ndio mama ni kuendelea ku jhifunza kiswahili, hata hapa marekani wanasema eti niwafundishe kiswahili.nami natoka burundi. sio burundi hata na kenya rwanda uganda na est congo wanajhuwa kiswahili pia

  • yeah ,msitulee hapa afu kina wanaijeria wakishindaga mtv africa mnasema sababu wanajua kigreza,wakati mnawambia wabongo kizungu akina maaan,acheni ushombo,kienglish ni lugha ya mawasiliano duniani acheni upotofu..nenda gym ukatoe minyama ya uzembe ,na hilo dume nalo alina kaili kabisa eti mkoloni,puck you.

  • lol

  • hata mombasa wana sheng yao.so pure swa imeisha imebaki ya kupita mtihani darassani tu then kule nje.....siunajua

  • she is our queen latifa...

  • I dunno wat that meanz but it sounds really good n the videos cool

  • jamani mmesahau kuwa kiswahili ni mchanganyiko wa lugha mbali mbali kam ki bantu kiarabu hata kispanyola na..Lungha zote duniani zinaendelea kukua kila siku, ndio maana hata kwenye kiingereza kumeingia msamiati mpya bloging, googling etcna kiswahili kila anaerudi kutoka nje anakiletea vionjo vyake. tukubali mabadiliko.

    lasivyo kiswahili kita 'boa'-from english again...you see

    Bida

    Mzee wa matawi ya juu asilia

    UK

  • nyimbo kichapo

  • nakubali song kichapo.kiswahili for nature.Qassim am in canada lakini kisw is my first priority

  • luv ths track

  • cool video

  • The beat is very nice. Lakini Wabongo punguzeni siasa kwenye muziki. Badala ya kukata maneno ili yapatane na muziki (kama wafanyavyo Wakenya na Wakongo) mnang'ang'ania kumaliza sentensi. Vunjeni Kiswahili kama Wamarekani na Waingereza wanavyovunja Kiingereza.

  • gyu7gb.. what the FUCK!?

  • Cool video. I am in Japan and was surprised to hear some Japanese at around 1:05. Also to hear the Mozambican Chisano spit some Swahili was dope. Niliishii Kenya zamani lakini nimesahau Kiswahili.

  • Nipo Japani pia. Hongera kwa kunena Kiswahili, japo naona ulituma ujumbe wako miaka miwili iliyopita. Mimi ni mtoka Kenya toka Meru na mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Unaishi wapi Japani?

  • come broad lady

    come 0n Europe girl

  • anakondoa macho aje

  • this song is good and educational....

  • Kiboko hiyo

  • yghkig

  • what hell of this?bad tone and bad wasanii althugh dnglish ni rugha ya mataifa wewe kama haujui kuonge kingereza au mnavyosema kimombo nasema hiyo ni is up to you

  • We ndo mjinga uliyejingika kabisaa,..

  • Kiasi cha kutaka kujua tu, je huku kujingika ndiko kufanya nini? Kama mtu mjinga ana ujinga. Sijasikia "kitenzi" cha kujingika. Si ajabu siku hizi pia kuna Kiswahili cha "kugonjeka" na pia "gonjwa". Jamani tukipeni Kiswahili hadhi inayokifaa!

  • Hata mimi ni mpenzi wa Kiswahili. Lakini vijana duniani kote wana lugha yao ya mitaani na hakuna aliyefaulu kuwalazimisha wazungumze lugha sanifu. K.m. vijana wa Nairobi wamebuni Sheng. Tukijaribu kupigana nao "tutajingika". Kuwe na Viswahili aina nyingi kama lugha zingine. Sidhani kama Kiswahili cha mitaani kinavunja hadhi. Nionavyo mimi, lugha ya mitaani ni kama kachumbari.

  • mfurukutwa sasa wewe ndio umenena!hebu show hawa wadhii vile risto iko bana...kila soko ina machizi wake,kila lugha sanifu ina sheng yake,umegitch?

  • Bwana Bausharaf kweli wewe ni mkufinzi tosha. Kila nionapo jumbe zako napata elimu kamili ya lugha ya Kiswahili. Nimefurahia kusikia Kijapani katika wimbo huu (1:05). Niliupata zamani nikiwa bado Nairobi walakin sikuwa naelewa lugha ya Kijapani wakati huo. Kiswahili kitukuzwe, japo lugha za mtaani kama vile sheng' na Eng'ish pale Nairobi, na kwa sasa hili neno mpya Swanglish toka Bongo zina adhari si haba.

  • Nice song. Damn that chick in the chorus is hot.

  • i love the group, good song

  • dats song is gdgd

  • bummer!!!!

  • shes fuckin lesbo

  • which one

  • Excelent men this video is tight the words are educating and reasonable...

  • wow at last, I have been looking 4 this video. Thanks 4 the upload.

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more