Kwa sauti safi tena maridadi ya adhima na wa msisimko, ndugu huyu wetu, Omar kadondoka miongoni mwetu, lakini historia itanakili bayana kwamba alikua na upewo mkubwa sana katika miziki na hata santuri sokomoko za kitaarab. Bila shaka marehemu atakumbukuwa katika ulimwengu wa miziki hizi za taarab, daima dawamu. Lala salama mwenzetu. Amin
Hassan FISI Nje ya nchi....Ebwana we? sio mchezo. vipi kaka omar utanipa? au huko tena duniani. mimi sikua na habari kama umekufa kwani huku niliko nimbali sana.. Mungu akurehemu na akulaze mahala pema peponi na akuepushe na adhabu za moto amin.
ebwana we? sio mchezo. vipi kaka omar utanipa? au huko tena duniani. mimi sikua na habari kama umekufa kwani huku niliko nimbali sana.. Mungu akurehemu na akulaze mahala pema peponi na akuepushe na adhabu za moto amin.
huyukijana anaimba si mchezo sauti tamu beat imetulia vinanda mwake mwao yaani kiumjula bomba sanaaaa...kaka naomba sasa uniwekee kitchen party part 2 kuna sehemu anasema utaliona joka li bwerere... he he he
hehehe jamani mie ni dada sio "kaka" lakini nadhani part two yake unaongea "Unyago" sababu akuna part two ya kitchen party. Ntaeka hiyo nikipata picha za Omar.
Lol huna khadabu we mtoto, muone vile sema nimefanya vizuri . tehehehe seriously my first video nimejitahidi thanx for the comments doe. Haya nikacheze mie
maskini! mungu akupunguzie adhabu ya kaburini na akusamehe madhambi yako.
TheGulous 7 months ago
lov this song
dauki1233 9 months ago
lov this son
dauki1233 9 months ago
kitu kimetulia.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
nenwal2006 11 months ago
This has been flagged as spam show
AND FROM GOD WE SHALL RETURN
juniorborbo 1 year ago
This has been flagged as spam show
i cant believe this guy is dead peace and love for ever omari kopa
mr34baha 1 year ago
i cant believe this guy is dead peace and love for ever omari kopa
mr34baha 1 year ago
i like it
sammy99668 1 year ago
Dah! Nakumbuka enzi hizo nipo Dar (Mbagala). Duh!!!!
Ruga28 1 year ago
sherehe ya jikon
fahadfahmi 1 year ago
sherehe ya jikoni.
fahadfahmi 1 year ago
generalibabu,kwani haujaelewa maana ya kitchen?hatawewe ungetafuta jina lengine usingejiita generali!maana generali si kiswahili.
ngwaja 1 year ago
@ngwaja Mrafiki ya ngu, mimi natoka jamestown south americano. Kama mimi na kosa nisamehe. bariki Allah.
Generalidibabu 1 year ago
Kwa sauti safi tena maridadi ya adhima na wa msisimko, ndugu huyu wetu, Omar kadondoka miongoni mwetu, lakini historia itanakili bayana kwamba alikua na upewo mkubwa sana katika miziki na hata santuri sokomoko za kitaarab. Bila shaka marehemu atakumbukuwa katika ulimwengu wa miziki hizi za taarab, daima dawamu. Lala salama mwenzetu. Amin
ebut2cmore 1 year ago
great song
i´m lovin iT =D
egyptdeluxxchen 2 years ago
Hassan FISI Nje ya nchi....Ebwana we? sio mchezo. vipi kaka omar utanipa? au huko tena duniani. mimi sikua na habari kama umekufa kwani huku niliko nimbali sana.. Mungu akurehemu na akulaze mahala pema peponi na akuepushe na adhabu za moto amin.
mohammedfatawu 2 years ago
ebwana we? sio mchezo. vipi kaka omar utanipa? au huko tena duniani. mimi sikua na habari kama umekufa kwani huku niliko nimbali sana.. Mungu akurehemu na akulaze mahala pema peponi na akuepushe na adhabu za moto amin.
mohammedfatawu 2 years ago
wana adam inabidi tukumbuke sana wapi tumetoka na wapi tunaelekeya
huyu mwenzetu yupo wapi leo?
rutweyaya 2 years ago
mashallah lovely rlycs R.I.P omar kopa
amyna44 3 years ago
mwenyrzi mungu akurehem lakini nyimbo powa zanzibar juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
halima3821 3 years ago
Comment removed
mkuki2000 3 years ago
Ungetumia jina la kiswahili, Sio Kitchen
Generalidibabu 3 years ago
Wimbo ndio uitwavyo sasa vereje miye nikabadilishe jina?. Hakuna jina lengine la kiswahili zaidi ya "Kitchen party" .....
likedatshorty 3 years ago
nkoma za afrika Taraab amuzi othe.
Mozambique
Muchaia 3 years ago
kaka...vipi mbona kume tulia ... lete zaidi... tunasubiri ..wenzeni tuna tamani sana tuko america huku... na hiki ni kiburudisho chetu
sophiamophia 4 years ago
oooooh ahsante dada, samahani majina hutuchanganya wakati mwengine!unyago imetulia bombaaa sana, mungu amlipe mema amsamehe maovu yake.
mahadhy 4 years ago
yaaaaap ahsante kaka kwa kuniwekea hii clip
huyukijana anaimba si mchezo sauti tamu beat imetulia vinanda mwake mwao yaani kiumjula bomba sanaaaa...kaka naomba sasa uniwekee kitchen party part 2 kuna sehemu anasema utaliona joka li bwerere... he he he
mahadhy 4 years ago
hehehe jamani mie ni dada sio "kaka" lakini nadhani part two yake unaongea "Unyago" sababu akuna part two ya kitchen party. Ntaeka hiyo nikipata picha za Omar.
likedatshorty 4 years ago
ni zayana mungu amuweke mahala pema peponi sisi wota ndiyo jiya basi tunaomba clep
zayanu 4 years ago
adnaboy hupitwi na kitchen party loh ha ha ha
fauziaanab 4 years ago
nice song mungu ampeleke mahali pema peponi mimi nkna clip yake ya omar kopa jina nifagilieni
babuNL 4 years ago
kitchen party? wapi hapo? nije na mie, ama vipi?
shushuuy 4 years ago
...mziki mzuri! nakuona na wee umo...swadakta!
ramso007 4 years ago
wow ! nice sweety nimependa kama nilivYokupenda wewe mwaauh umejitahid ..;-)
ADnaboY 4 years ago
Lol huna khadabu we mtoto, muone vile sema nimefanya vizuri . tehehehe seriously my first video nimejitahidi thanx for the comments doe. Haya nikacheze mie
likedatshorty 4 years ago
ahsante kaka keep it up bomba sana sisi wengine ndo zinazotuliwaza huku ugenini
mahadhy 4 years ago