Added: 4 years ago
From: Munishi2
Views: 71,479
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (42)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • this is how we sing gospel ..love you men

  • makes me recall this guy called duncan muvele he used to sign it day in day out

  • May God bestow grace on you

  • bana maneno yako niyaukweli ispokua vichwa za watu sijui vile ziko lakini tufayeje jameni!

  • WoooooooooooooooooooooW best video ever!

  • jesus bless us all and forgive the misguided. god is supreme non but he is the only God and jesus his only son. nothing is impossible with that combination and the key is the prayer. Hail jesus

  • mungu akubariki sana.

  • I walk down the darkened streets in a city of demons. Burning churches collapse below us. Black haze covers all, there's no more light. Here, I see the winds of wisdom blow. Shadows run through my ghastly mind. This shall be the evening of Satan's love. With the master, I am never alone. Together our hearts beat as one. Satanism paves the path to freedom. I feel the warm kiss of Old Nick. Satan loves me and forever will care for me. Beyond feeble holiness, a dark champion awaits.
  • God have mercy on you, you are totally lost, seek salvation now before its too late, please seek salvation today!

  • Jesus bless you and bring you to light and you will alway wont walk in darkness no longer. HAIL JESUS ALWAYS. IN JESUS NAME I ASK gOD TO LETYOU SEE THE LIGHT. AND SHETANI ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU

  • Wow Why shouldn´t I believe in God?

  • This is a very good song.Really good

  • I love this song,when I listen to it,it reminds me of so many thing.Munishi is an inspiration,his song make my day when am down.Keep it up,not everyone is talented,but you are

  • akisantee wanyumbani siunaona waziri mkuu kajiuzulu kweliusemayo ni kweli mungu akulinde Lowasa na baAdhi ya mawaziri nje shauri ya rushwa BWANA APEWE SIFA

  • kazi nzuri,Munish!

  • Asante Munishi-huu wimbo unafaa uwe kama kielezo kwa wakenya wenzangu-'Hakuna haja kuwaua majirani wako'

    Kenya, bila shaka, itaangamizwa na vita vya kikabila kama Rwanda ikiwa wananchi wenyewe hawataacha vita vilivyo na msingi wa kabila

  • Asante!

  • mungu azidi kukubariki, munishi you are annoited singer.

  • wow i listen to this song when i was 10

  • pende adui yako.true love you enemy.and God bless u.pnu sweden

  • pnu?????

  • asante kwa wmbo mtamu

  • hongera munishi kwa kuwapa wagonjwa hao wa chuki isiyo nakifani yani hao watutsi nawahutu waache chuki nawaishi kwa amani.Hongera mhubiri munishi kwa ukweli huo

  • Mwisho wa CCM umefika. Vijana wengi hawakubaliani na mawazo ya CCM yaliyopitwa na wakati.Wameamua kwa njia zote lazima CCM watoke madarakani. Wanataka mawazo mapya. Nasikia wanamuandaa mtoto wa Mwinyi awe Rais baada ya KIKWETE. Sina tatizo na kijana wa Mwinyi, lakini ikiwa atatoka CCM hakuna jipya.

  • Wamelewa madaraka hata hawajui wafanye nini. Wanachojua ni kuwaburuza watanzania kwa bunduki. Wanasema wameleta amani kumbe umasikini ndio wanaouita amani. Kwao watanzania kuwa masikini ndiyo raha yao ili wawatawale vizuri.Tumewashitukia matapeli wakubwa hawa. CCM ni CHAMA CHA MATAPELI. Hatuwataki Tumewakataa na Hatuwakubali.

  • Social justice. tell them pastor. Great message

  • love your foe indeed

  • mchungaji gani huyu ni mwanaharamu tu kumamako

  • CCM hawana hoja.Kama hawatatumia matusi watatumia vyombo vya dola kutisha watanzania. Ni chama cha wahuni. Wanajibandika shahada ambazo hawana. Wabunge wa CCM karibu wote wana vyeti bandia. Wanajiita madaktari wakati hawajahitimu kwenye chuo chochote. Nyerere aliwaacha mbumbumbu makusudi ili waendelee kusema zidumu fikra zake. Hakutaka wafikiri. Hata hapa kinachowasumbua CCM ni kwama Munishi nimethubutu kufikiri na kusema. Inawauma sana. Wacha waumie siwaombi msamaha.

  • Ikiwa mnataka basi tutengane. Wana dini wajichague wenyewe na makafiri wajichague wenyewe. Ni rahisi dini zote kuungana kuliko kukubali kuburuzwa na wanasiasa wezi kama CCM. Si unajua Tena kirefu cha CCM? Chama Cha Majambazi

  • Nchi ya Tanzania kwa sasa ni ya vyama vingi.Lazima CCM wakubali mawazo tofauti na ya Nyerere. Kuwaburuza watu hakutasaidia. Zanzibar hawaitaki CCM. Hiyo isiwe dhambi. Wana haki kuikataa CCM. Munishi ni mchungaji, napiga kura, washirika katika makanisa wanapiga kura. Huwezi kunizuia uhuru wangu kuzungumzia kile tunachopigia kura.

  • kuwa na siasa kali haina maana na wala haisadi,manake dunia hii kila mtu anajiona yuko sawa kwa hiyo ukiamua au kujaribu kumtaka afuate yako itatokea matatizo kwa hiyo naku arifu we mchungaji munishi kumbuka kuwa afrika au east afrika sio ya wa kristo tu bali kuna dini tofauti ndipo una ambiwa kuwa serikali ina bakia haina dini na wala wenye siasa kali kama wewe hawana nafasi katika jamii ya leo

  • munishi una maanisha kuwa watu wa dini zingine au wenye dini za asili nchini tanzania hawana haki? wakati unasema eti wakati umefika kwa wakristo kutawala duh majabu basi manake hu ni unafiki sasa mi naona

  • Munishi is the man to beat in this world. Keep it up!!

  • God bless! We love here in the USA. You should make a tour to the west someday!

  • sio siri lugha ya kiswahili iliyotumiwa naye munishi na malebo zuri sana , pongezi mchungaji kwa nyimbo zenye mawaidha chungu nzima mungu akujalie mema.

  • iko nzuri sana

  • Alisema CCM imezeeka, Imepoteza dira, Haifai kuwa madarakani. Pia alisema katiba ya Tanzania irekebishwe ili iwaruhusu wagombea binafsi. Alishangazwa kwamba bado katiba inasema kwamba Tanzania ni nchi ya ujamaa, wakati sera za kibepari ndizo zinazofuatwa nchini. Kama Ujamaa ulishindwa, tukubali hilo na katiba iseme hivyo. Vinginevyo tunadanganyana. Nyerere mwenyewe alikiri kwamba ujamaa ulishindwa. CCM ni wajamaa kuliko Nyerere? Anauliza Mchungaji Munishi.

  • Kuna wakati nilisoma kwenye gazeti la NIPASHE kwamba walikuwa wakikungoja Ngaramtoni wakukamate, nawe ukawapita ukaja mpaka hapa UNGA LIMITED ninapoishi. Sasa ulipitia wapi? Au Mungu alikupaisha juu kwa juu? Halafu hatukuonana. Ukija tena nione nikununulie matumbo na ugali.Mkapa ndiye mbaya wako. Na KIKWETE pia? Au wote ni CCM? Hata mimi ni CCM damu.Japo sina meno, madarakani hatutoki.Munishi ulie tu.

  • wew munishi acha kuchanganya kazi ya kiroho na siasa

    nashindwa kukuelewa wewe ni mchungaji au mwansiasa ? mfuasi wa kweli wa kristo is not part of this world kwa kuwa mtawala wa ulimwengu huu anajulikana (yule aliyetaka kumpa yesu ulimwengu huu na glory zake kama tuu yesu angekubali kumwabudu)

    the whole world lies under the power of the wicked one unafahamu hilo

  • Dunia ni mali ya Mungu.Hatuwezi kunyamaza wakati wanasiasa wanapoiharibu dunia ya Baba yetu tungoje kwenda MBINGUNI. Mungu alituamuru kuitawala dunia na vyote vilivyomo. Wakati umefika wa Wakristo kuitawala dunia, hata kama ni kwa kuwatoa wanasiasa madarakani.

  • Mungu ananilinda. Wakiniua ni sawa maana siku moja nitakufa. Kuninyima haki ya kutoa maoni hawawezi.Wanasiasa ni sawa na MBWA MWITU. Wanataka wachungaji wanyamaze wakati wanapowatumia kondoo kuwapigia kura. Kondoo wengi wamefanyika kitoweo cha mbwa mwitu, ndio maana tunasema basi.

  • Yani uliponiimba nikanyamaza ukafikiri hata CCM utawaimba wanyamaze? Nilisikia walituma askari Nairobi wakukate shingo. Uliponaje mtego wao? Hawa jamaa ni wauaji usicheze nao.Walimuua KOLIMBA, wakamuua Jenerali KOMBE nashangaa wamekubakiza. Nasikia ulipiga kelele za kuku aonapo mwewe.

  • Mzee Munishi serikali Tanzania wameupiga marufuku wimbo huu. Lakini tunashukuru kuusikia hapa. Wanadai ulichanganya mambo ya siasa na dini.Unasemaje?

  • Bwana Malebo wewe ulifurahia serikali ya CCM walipoupiga STOP wimbo huo? Waambie Wakristo ni wanachama wa vyama vya kisiasa. Tena ndio wapiga kura. Ikiwa hawachanganyi wanapopiga kura, wakitoa maoni pia hawachanganyi.Waambie CCM imezeeka, na wasiirudishe madarakani.

  • Mungu aku bariki,

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more