Shida, Dhiki, Mitihani humfika kila mtu. Aloumbwa duniani kukwepa hatothubutu. Wasahaulifu msiwe yota yame pangwa na Mungu. Mkuku ni kwa nguwure kwa binaadamu mchungu.
big upp what a stupid man or woman.she is the best.anyway am from uganda.she is not big lakini ana mzigo kifuwani that means anaye 36dd.wewe ni mpu uzi.huyu ni mzuri zaidi na ana sauti zari
wimbo umetulia maudhui yake safi sana.Kila kitu kitu kinatoka kwa Allah binadamu tuache ushabiki pindi mtu linapomkuta jambo uje kuwa nawe umeumbwa hujajiumba hivyo huwezi kumzuia Allah kufanya alilokupangia. Rehema Msologonhe
kweli dada yangu, hakuna kam mungu, binadamu hawajua hayo, mitihani ikimkuta mtu basi wao ni kuongea mambo wasijua, ahsante maana mimi yalinikuta binadamu walikuwa mawakili na mapolisi, nimefurahishwa sana na mwimbo huu kama ulijua, mtungaji wa nyimbo hii nakupa hongera.....
big up Jahazi Modern Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Olduvai Gorge,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
I love your Kiswahili guys.accent is what I love so what...it is spoken in a way that show humility.
blykqk 7 months ago
lol mambo ya taarabu ni haya. Mombasa ni home kwangu. mambo ya pwani hayo
bengura 7 months ago
wow the organised sound with diferent classes
balikenda 8 months ago
i like this tarabic sound its very nice to me, keep doing it forever
balikenda 8 months ago
lovely music
65naz1 9 months ago
Mohdkhalfan, twampenda vile vile alivyo, huna haja kuangalia. Wambiye jamaa zako wafanye mazoezi.
MrMukhs 1 year ago
Shida, Dhiki, Mitihani humfika kila mtu. Aloumbwa duniani kukwepa hatothubutu. Wasahaulifu msiwe yota yame pangwa na Mungu. Mkuku ni kwa nguwure kwa binaadamu mchungu.
niraLwy 1 year ago
Ahsante Bi Khadija.
mpemba53 1 year ago
mohdkhalfan.Give respect to her,she is someone's sis,aunty,mother.Just enjoy the muzik.
pagazza 2 years ago 3
iko wapi part 2 yake?
aburamba 2 years ago
nyimbo nzuri sana ila tu muimbaji namuomba afanye mazoezi ya mwili
mohdkhalfan 2 years ago
Nyimbo safi tu, anajua kuimba ila afanye mazoezi ya mwili
mohdkhalfan 2 years ago
big upp what a stupid man or woman.she is the best.anyway am from uganda.she is not big lakini ana mzigo kifuwani that means anaye 36dd.wewe ni mpu uzi.huyu ni mzuri zaidi na ana sauti zari
kitalikibi 1 year ago
wimbo umetulia maudhui yake safi sana.Kila kitu kitu kinatoka kwa Allah binadamu tuache ushabiki pindi mtu linapomkuta jambo uje kuwa nawe umeumbwa hujajiumba hivyo huwezi kumzuia Allah kufanya alilokupangia. Rehema Msologonhe
reymsolo 2 years ago
kweli dada yangu, hakuna kam mungu, binadamu hawajua hayo, mitihani ikimkuta mtu basi wao ni kuongea mambo wasijua, ahsante maana mimi yalinikuta binadamu walikuwa mawakili na mapolisi, nimefurahishwa sana na mwimbo huu kama ulijua, mtungaji wa nyimbo hii nakupa hongera.....
akenaissa 2 years ago
unasema kweli khadija asante sana ujumbe umewafika
binhemed 3 years ago
sadakta!!!!
rk097 4 years ago
show clealy
maminabyla 4 years ago
yani sura nzuri . kuimba unajua mtoto wa kike una pozz zuri sijui mungu kakunyima nn khadija
Lkanya 4 years ago
jamani nyumbani!!!!!
trudysixth 4 years ago
ni nyimbo nzuri inatoa mafunzo kwa wale wanaojiona kama wao wamekamilika wakati hawajui anaotoa allah
susumia07 4 years ago 2
This is a nice one, plz bring more especialy those of Omar kopa and Abdallah Issa
amahadhy 4 years ago 2
More of Khadija Yusuf please..shukrani
amshy70 4 years ago
big up Jahazi Modern Taarab,big up Tanzania (craddle of mankind)-authentic Africa;the land of Kilimanjaro,Zanzibar,Ngorongoro,Dar es Salaam,Kilwa,Tarangire,Ruaha,Arusha,Serengeti,Olduvai Gorge,Selous,Mkomazi and Udzungwa!
tanzanianboy 4 years ago