tafadhali usifanye hili jambo kuhusu Wahindi wala Waarabu. Hili ni tendo la mtu mmoja. Awe mtu yeyote wa rangi yeyote kama anadhuru uhai na ubora wa binaadamu lazima ashitumiwe. Intrepeco, chuki ya rangi ni kama kuuwa naomba usijiwekee hio damu. Watanzania tuwe pamoja kujenga bila ubaguzi kama Makaburu!

gomakuu 1 year ago
Tumuunge mkono bwana Mengi Tanzania inadidimia machoni petu kwa sababu ya hao akina Rostram Aziz.. wahindi..
intrepeco 2 years ago
Mengi what happen ?
migezo 2 years ago
Mengi nakupenda sana na nakuombea maisha marefu.
chikuhoward 2 years ago
I have added one more intelligent guy on my diary.Thank you Mr Mengi.
kambizambo 2 years ago 4