Habari za Watanzania wenzangu. Nauliza? inawezekana mjuzi mmoja kati yenu atafute picha za wataalamu wa soka wetu wa zamani, kama vile Sande manara, King Kibaden, Muchacho, Dilunga na wengineo, halafu atengeneze Youtube clip na mziki wa awali kama Sikinde....mutafurahisha wengi. Ahsanteni sana
God bless Tz, the land all who loves peace and friendship-je t'aime bien et je t'adore.... mucho gracias for our late PREZ who make it happen!!!!!u apreciate when it's gone
we just need to adjust our attitude. kuna watu bongo who are soooo rude and mean!!!
jgloyce 2 years ago
Picha in digital form ngumu kuzipata - labda uende gazeti la Mfanyakazi uombe uscan.....
semkae 3 years ago
nyimbo za sikinde ninazo ila picha sina....
tizedboy 3 years ago
Habari za Watanzania wenzangu. Nauliza? inawezekana mjuzi mmoja kati yenu atafute picha za wataalamu wa soka wetu wa zamani, kama vile Sande manara, King Kibaden, Muchacho, Dilunga na wengineo, halafu atengeneze Youtube clip na mziki wa awali kama Sikinde....mutafurahisha wengi. Ahsanteni sana
tabimsa 3 years ago
Asante sana mzee...
makumbele 4 years ago
God bless Tz, the land all who loves peace and friendship-je t'aime bien et je t'adore.... mucho gracias for our late PREZ who make it happen!!!!!u apreciate when it's gone
nkinda69 4 years ago
makes me proud to be tanzania....daimaaaa
masaai7 4 years ago
Sasa tuwafunge Wamakonde na njia ya Ghana ni nyeupe, atleast kwa kuwa best top three runners up. Bongo OYEEE
nass8er 4 years ago
Kazi nzuri sana. Tengeneza nyingine kama hizi tuitangaze nchi yetu.... Ahsante kwa kazi nzuri...
kikikides 4 years ago
safi sana, taifa stars 1 burkinafasso 0 tena kwao. kilimanjaro lager kwa wiiiiiiiiiiiiiiiiingi
chiniyamuti 4 years ago
mungu ana tubariki wa tanzania amen
shaurialex 4 years ago