Added: 3 years ago
From: Munishi2
Views: 14,131
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (3)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • hi mr munish honestlly nyimbo zako ni poa nazipenda sana hasa hii lattest uliyotoa ni poa ajabu.pia i can see ukokaribu kupata mkwe kwani uko na mojashi.

  • Wachungaji ni watapeli kweli. Hebu waeleze Munishi. Nadhani wewe tofauti. Onyo nzuri sana.

  • Asante Munishi. Tutaitafuta VCD vol.3

  • Munishi aachilia DVD Mpya. Ni nyimbo za kitambo Lakini ametengeneza Video yake na kuzifanya mpya tena. Inaonekana nyimbo za msanii huyu hazitishwi na muda. Badala yake zinashamiri kila miaka inavyopita. Zilirekodiwa 1990 na 2008 Video yake imetoka. Ina viwango vya kimataifa. Picha ya cover inazungumza yenyewe.

  • Imechomolewa kwenye video yenyewe. GTV tv ambayo bado ni ndoto za Munishi ndiyo iliyofanya kazi ya kuitengeneza video hii. Inasifika kwa kutengeneza VOL 7 na 6, na sasa imekuja na Vol. 3. Utaipenda. Itafute.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more