@gospelgtv na hata kushambulia viongozi wa kisiasa. Hii naona inakuondoa kwenye upako wako na ile neema Mungu aliyokuitia mwanzoni. Nakusihi mtumishi, epuka kishawishi hicho cha kukufanya watu wakuone wewe kama mwanasiasa fulani mpinzani na mwenye maneno ya hasira yasiyojaa munyu ya kumtukuza Mungu. Naamini kabisa ukiendelea kujikita kwenye huduma yako hii neema ya Mungu ni kubwa tu ya kukutosha na thawabu yako ni kubwa. Tumia mtandao kuongea maneno ya kujenga kama yaliyo kwenye nyimbo hizi
@gospelgtv Mtumishi wa Mungu Munishi, ukihudumu kwa neema ile Mungu aliyeiweka juu yako una bariki watu kweli. Mungu amekupa upako wa tofauti sana, umeinua wengi, umetia moyo wengi, umefariji wengi kwa huduma yako ya uimbaji na kutoa neno la Mungu kuwaonya na kuwatahadharisha watu wa Mungu. Ujue kwamba watu wameokoka kwa huduma yako hii hata wengi wewe huwafahamu labda siku ile parapanda itakapolia ndiyo utayafahamu hayo.
Kinachosikitisha ni kujikita kwenye vita vya kisiasa. Kuishambulia CCM

apostleck 1 year ago

inspiration...i like this song
Sebene03 3 years ago