Ubarikiwe mama, nilikuwa nakusikiliza kwenye audio toka zamani nimefurahi kupata video hii, ubarikiwe sana kweli ni Mungu pekee anayeweza kutusaida na katika shida zetu na si mwingine!
kweri unaimba sio sili ubarikiwe sana tena sana mimi nafurahia nyimbo hii kwasababu urisema ukweri hakuna mahari pasipo shida bira mbinguni ubarkiwe sana n mi izai nkunzimana
nimimi Gloria Nduwarugira nafurahia sana nyimbozako kwakifupi zinafundisha tena ni ukweli dunia hii haina usalama kipindi nilikuwa africa nilikua nafikiri Usa kuna usalama lakini siokweri
my god, i love this song, this woman got really a niice voice. the song is so relaxing, it'll makes me 4get about my problems 4 atleast an hour weneva am listenin to it, such a beautiful song this
rose!....am so happy to c u ...vbn searching for this song for so long...nimefurahi sana kukuona...kama unanikumbuka Sara wa mam shiku pale GSU.....Jesus is the only way for peace...God bless u..
Loove it!
bwire007 1 month ago
be blessed dada.
EpyAngelina1 4 months ago
munguakubarikisana uwimboumenikumbushambali
nimeupendasaaaaana
safifelekeni 9 months ago
Ubarikiwe mama, nilikuwa nakusikiliza kwenye audio toka zamani nimefurahi kupata video hii, ubarikiwe sana kweli ni Mungu pekee anayeweza kutusaida na katika shida zetu na si mwingine!
kwaali 10 months ago
ahsante saana kwa kutia wimbo huu. ninakumbuka nipokuwa kambini mtabila (tanzania)
prudy2pm 10 months ago
world journey comes to an end indefinately the best journey is heaven's shuttle...
88myc 10 months ago
where did you go? I havent heard of your songs for a long time. My sister where are you? Your songs bless me so much. Be blessed.Oscar Waks
OCHIDO2006 1 year ago
AWESOME SONG!!!!! BLESSING.
kip2009able 1 year ago
kweri unaimba sio sili ubarikiwe sana tena sana mimi nafurahia nyimbo hii kwasababu urisema ukweri hakuna mahari pasipo shida bira mbinguni ubarkiwe sana n mi izai nkunzimana
MyIzai 1 year ago
Huu ni wimbo wa wakati; wimbo unaoelekeza watu kwenye suhulu ya kudumu. Baraka za Mungu.
gichuru12 1 year ago
This is a very nice song. There is peace in the Lord
TheBenson2 1 year ago
Mara ya kwanza kusikia huu wimbo kwa you tube. Asante shimweshi.
wamwaneriri 1 year ago
Keep it up Rose...let the world know that True peace is in Christ...
SirMainejerm 1 year ago
Comment removed
SirMainejerm 1 year ago
surely its only in Jesus where we can find peace.
felo403 1 year ago
nimimi Gloria Nduwarugira nafurahia sana nyimbozako kwakifupi zinafundisha tena ni ukweli dunia hii haina usalama kipindi nilikuwa africa nilikua nafikiri Usa kuna usalama lakini siokweri
Guwayezu 2 years ago
@Guwayezu Mungu akubariki Mama. Usalama wa kweri watokea kwa Yesu pekee kama muimbaji aliimba.
shimweshi 1 year ago
i rem singing this song many years ago!..still love it!..
bethukip 2 years ago
mungu akubariki mama..u have a real inspiration on me...endelea na kazi yako njema
kasongo2 2 years ago
Mungu akubariki wewe ulioituma nyimbo hii katika youtube maana nabarikiwwana nyimbo hii tangu nipoanza kwa mara ya kwanza mnamo 1996
Da Rose Mungu na akubariki, amen amen
fbensony 2 years ago
Huu wimbo ni wa baraka maishani mwangi sana. nilianza kuusikia pale railways Nairobi ukifantiwa promotion. i fll in love with this song i tell you.
God bless you sister Njefa. i trully love your music.
Karanja Australia.
Uujiw 2 years ago
I rem listening to the song when we were young on sunday before going to church makes me miss kenya.
727702 2 years ago
my god, i love this song, this woman got really a niice voice. the song is so relaxing, it'll makes me 4get about my problems 4 atleast an hour weneva am listenin to it, such a beautiful song this
god bless y'all
maggielicious18 2 years ago
I remember this song from a long time ago when I was in Kenya. Beautiful voice, true words...God bless you!
Imani2Imara 2 years ago
Thank you for uploading this song. I had looked for it for so long.
rmbmb 2 years ago 3
My pleasure. I am actually still looking for the entire album
shimweshi 2 years ago
rose!....am so happy to c u ...vbn searching for this song for so long...nimefurahi sana kukuona...kama unanikumbuka Sara wa mam shiku pale GSU.....Jesus is the only way for peace...God bless u..
nyambukagz 2 years ago
I dinno that Rose Jeffa sang this song.
Its a nice one
STICK TO JESUS
Rose110808 2 years ago
Thanks so much for posting this song. I have looked for it everywhere. Brilliant song!
Handonheart1 2 years ago