tunafanya matamasha badala ya kuteketeza mbu. tunatakiwa kuanzisha project za maana tuteketenze mbu siyo miradi ya tumbo,,,,,sijui serikali imelala au ni vipi...f**ck
Hao jamaa ndo walivyo, wapo wachovu wa idea, lakini when it comes to someone's idea wanaiba wanatengeneza pesa na kuwaacha walio na idea mbali, mimi nimemsikia sugu tangu mwaka jana Sept ananiambia this is the life time project eti leo nasikia Malaria no More anamiliki mtu mwingine u know dats bull shit, naomba watanzania wote tuungane kupambana na ufifadi huu, na hao watu walioshiriki wachukuliwe hatua zinazostahiri, na Rais KIKWETE pia aangalie ahoje wasaidizi wake kama kuna kitu hapo kifanywe
Ni kweli uliyoyasema,ila sio kwa Watanzania pekee bali,itabidi WaAfrika tutafute namna ya ya kupambana na huu ufisadi,haswaa unaoenezwa kichini na hawa Wa ng'ambo...mbaya sana walivyomtendea Bw. Sugu,na wasio na namna...bado mapambano...La Kheri Mr 2
Tru say, hii serikali ni corrupted ndio maana nchi enyewe haisongi mbele
Fuady099 9 months ago
This has been flagged as spam show
tunafanya matamasha badala ya kuteketeza mbu. tunatakiwa kuanzisha project za maana tuteketenze mbu siyo miradi ya tumbo,,,,,sijui serikali imelala au ni vipi...f**ck
MrGadi85 1 year ago
Comment removed
MrGadi85 1 year ago
Hao jamaa ndo walivyo, wapo wachovu wa idea, lakini when it comes to someone's idea wanaiba wanatengeneza pesa na kuwaacha walio na idea mbali, mimi nimemsikia sugu tangu mwaka jana Sept ananiambia this is the life time project eti leo nasikia Malaria no More anamiliki mtu mwingine u know dats bull shit, naomba watanzania wote tuungane kupambana na ufifadi huu, na hao watu walioshiriki wachukuliwe hatua zinazostahiri, na Rais KIKWETE pia aangalie ahoje wasaidizi wake kama kuna kitu hapo kifanywe
fmwasalukwa 2 years ago
Ni kweli uliyoyasema,ila sio kwa Watanzania pekee bali,itabidi WaAfrika tutafute namna ya ya kupambana na huu ufisadi,haswaa unaoenezwa kichini na hawa Wa ng'ambo...mbaya sana walivyomtendea Bw. Sugu,na wasio na namna...bado mapambano...La Kheri Mr 2
wachaushenzi 2 years ago